SERIKALI INATHAMINI MCHANGO WA TAASISI ZA DINI.
Na Mwandishi - Karagwe.
WAZIRI wa Nchi, Ofisi ya Waziri Mkuu - Kazi, Ajira na Mahusiano Mhe. Deus Sangu amesema Serikali itaendelea kudumisha ushirikiano na...
DC BAHI AKABIDHI GARI RUWASA, AMKARIBISHA MENEJA MPYA MKOA
Mkuu wa wilaya ya Bahi Mhe. Joachim Thobias Nyingo amekabidhi gari jipya aina ya ‘Toyota Pickup’ kwa Meneja wa Wakala wa Maji na Usafi...
PROF MKENDA: SERIKALI KUENDELEA KUWEKEZA KWA WANAFUNZI BORA WA SAYANSI NA TEKNOLOJIA
Waziri wa Elimu, Sayansi na Teknolojia, Prof. Adolf Mkenda,akizungumza na waandishi wa habari jana Julai 27,2026 jijini Dodoma kuhusu uteuzi wa wanafunzi 1,050 waliofanya...
NAIBU WAZIRI LONDO AWATAKA WAZALISHAJI KUTUMIA HUDUMA ZA TBS
NA EMMANUEL MBATILO, DAR ES SALAAM
UWEKEZAJI unaofanywa katika Taasisi ya Viwango Tanzania (TBS) umeongeza uwezo wa taasisi hiyo kulinda afya za Watanzania, thamani ya...
MADEREVA WASISITIZWA USAFIRISHAJI SALAMA WA KEMIKALI
Na Okello Thomas
Madereva wanaosafirisha makaa ya mawe nchini wamehimizwa kuzingatia kikamilifu sheria, kanuni na taratibu zinazosimamia usafirishaji wa kemikali na bidhaa hatarishi ili kulinda...
GCLA YAKUTANA NA WADAU KUIMARISHA USAFIRISHAJI WA SALFA
Na. Judith Meingarai
Mamlaka ya Maabara ya Mkemia Mkuu wa Serikali (GCLA) imewakutanisha wadau wa biashara na usafirishaji wa kemikali aina ya sulphur (salfa) kujadili...
TOHASA YAJA NA KAMPENI KUWA MAKINI OKOA MAISHA KWA MADEREVA BODABODA
Na Mwandishi Wetu
KAMPENI maalum ya “Kuwa Makini Okoa Maisha” kwa madereva wa pikipiki maarufu kama bodaboda imeanza rasmi mkoani Dar es Salaam, ikiwa na...
ORYX GAS YAGAWA MITUNGI 600 YA GESI KWA WAJASIRIAMALI BAGAMOYO
Na Mwandishi Wetu
WAJASIRIAMALI 600 wakiwemo wafanyabiashara ya kukaanga samaki naMama lishe katika Jimbo la Bagamoyo mkoani Pwani wamepatiwa mitungi ya gesi ya kupikia ya...
KILIMO CHA BANGI MARA CHAPUNGUA KWA ASILIMIA 80 – DCEA
Kamishna Jenerali wa Mamlaka ya Kudhibiti na Kupambana na Dawa za Kulevya (DCEA), Aretas Lyimo, amesema kilimo cha bangi katika Mkoa wa Mara kimepungua...
WANAFUNZI WAHIMIZWA KUJIKITA KATIKA MASOMO YA SAYANSI KUNUFAIKA NA FURSA ZA SCHOLARSHIP ZA SERIKALI
Wanafunzi wa shule za sekondari nchini wamehimizwa kuwekeza zaidi katika masomo ya Sayansi, Teknolojia na Hisabati (STEM) ili waweze kunufaika na fursa mbalimbali za...













