Monday, August 17, 2026
Home 2026 July

Monthly Archives: July 2026

MOROCCO YAAHIDI KUENDELEZA USHIRIKIANO WA KIUCHUMI NA TANZANIA

0
Na Mwandishi Wetu, Dar es Salaam Mahusiano ya kidiplomasia kati ya Ufalme wa Morocco na Jamhuri ya Muungano wa Tanzania yameendelea kuimarika kwa kasi tangu...

WABUNIFU WA KITANZANIA KUONYESHA TEKNOLOJIA ZAO TANGA

0
Waziri wa Elimu, Sayansi na Teknolojia, Prof. Adolf Mkenda, ametangaza maadhimisho ya Wiki ya Kitaifa ya Elimu, Ujuzi na Ubunifu kwa mwaka 2026, yatakayofanyika...

EWURA KANDA YA KASKAZINI YAWAJENGEA UWEZO MAAFISA HUDUMA KWA WATEJA NA MAHUSIANO

0
Na.Mwandishi Wetu-Babati, Manyara  Mamlaka ya Udhibiti wa Huduma za Nishati na Maji (EWURA) Kanda ya Kaskazini imeendesha semina ya kuwajengea uwezo Maafisa wa Huduma kwa...

TANGA KUWA KITOVU CHA WIKI YA KITAIFA YA ELIMU, UJUZI NA UBUNIFU 2026

0
Waziri wa Elimu, Sayansi na Teknolojia, Prof. Adolf Mkenda,akizungumza na waandishi wa habari kuelekea maadhimisho ya Wiki ya Kitaifa ya Elimu, Ujuzi na Ubunifu...

MEDINOVA YAONGEZA HUDUMA ZA TIBAMAZOEZI KWA TEKNOLOJIA YA KISASA

0
Na Mwandishi Wetu Hospitali ya Medinova Specialized Polyclinic imezindua rasmi huduma ya Tibamazoezi (Physiotherapy) ikiwa ni sehemu ya mkakati wa kupanua huduma za kibingwa na...

NYABUNDEGE : ASILIMIA 73.6 YA MIKOPO TADB IMETOLEWA KATIKA AWAMU YA SITA

0
Na Mwandishi Wetu, Dodoma BENKI ya Maendeleo ya Kilimo Tanzania (TADB) imesema imeendelea kuimarisha nafasi yake katika kufadhili sekta ya kilimo nchini baada ya mtaji...

TBS WAKUTANA NA WAZALISHAJI , WAINGIZAJI NA WASAMBAZAJI WA BIDHAA ZA VIPODOZI NCHINI.

0
Na Mwandishi Wetu. SHIRIKA la Viwango Tanzania (TBS) limekutana na wadau wa sekta ya vipodozi nchini kwa lengo la kutoa elimu kuhusu matakwa ya viwango,...

RAIS DKT. MWINYI: ZANZIBAR NA USWISI KUENDELEZA USHIRIKIANO WA KUIMARISHA SEKTA YA AFYA

0
Rais wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi, Mhe. Dkt. Hussein Ali Mwinyi, amesema Serikali ya Mapinduzi ya Zanzibar imejipanga kuimarisha mifumo ya...

WATAALAM WA NDANI WAFANIKISHA UPASUAJI WA MASHINE ZA USIKIVU (Cochlear Implant) KWA MARA YA...

0
Na Abduly Madenge, WAF – Dar es Salaam Tanzania imeandika historia mpya katika sekta ya afya baada ya wataalamu wa Hospitali ya Taifa Muhimbili (MNH)...

NAIBU WAZIRI LONDO ASHANGAZWA NA UTHABITI WA MAABARA ZA TBS.

0
 Na Mwandishi Wetu. UWEKEZAJI unaofanywa katika Taasisi ya Viwango Tanzania (TBS) umeongeza uwezo wa taasisi hiyo kulinda afya za Watanzania, thamani ya fedha za wananchi...