Monday, May 18, 2026
Home 2026 April

Monthly Archives: April 2026

EACCA YAAPISHA MAKAMISHNA WAPYA, WAAHIDI KUSIMAMIA USHINDANI WA HAKI KATIKA SOKO

0
Katika hatua kubwa inayolenga kuleta mapinduzi kwenye soko huria na kumlinda mlaji, Mamlaka ya Ushindani ya Jumuiya ya Afrika Mashariki (EACCA) zimekutana mjini Moshi,...

SERIKALI YASISITIZA UMUHIMU WA MICHEZO KWA WAFANYAKAZI

0
Serikali imesisitiza umuhimu wa michezo kwa wafanyakazi kama sehemu muhimu ya kuimarisha afya na kuongeza ufanisi mahali pa kazi. Wito huo umetolewa na Naibu Waziri,...

AFRIKA INAKABILIWA NA UPUNGUFU WA WAKUNGA 460,000

0
Rais wa Chama cha Wakunga Tanzania (TAMA), Dk. Beatrice Mwilike, amesema kuwa kwa sasa Afrika inakabiliwa na upungufu wa takriban wakunga 460,000, hali ambayo...

WAZIRI SANGU: TAASISI ZA DINI NI NGUZO MUHIMU YA MAENDELEO NCHINI

0
Waziri wa Nchi, Ofisi ya Waziri Mkuu – Kazi, Ajira na Mahusiano, Mhe. Deus Sangu akizungumza wakati wa Harambee ya Ujenzi wa Kanisa Kuu...

WANANCHI WENYE AFYA BORA NI MTAJI NA NGUVU YA UZALISHAJI.

0
Makamu wa Pili wa Rais wa Zanzibar Mhe. Hemed Suleiman Abdulla amesema Mashindano ya Bunge Marathon yamekuwa ni jukwaa la Kimataifa linalounganisha na kuwaweka...

WADAU WA USAFIRI MAJINI WATOA MAONI KUHUSU ATHARI ZA ONGEZEKO LA BEI YA MAFUTA

0
Wadau wa sekta ya usafiri wa majini katika mikoa ya Mwanza, Kigoma na Kagera arehe 16 Aprili, 2026 wamejitokeza na kutoa maoni yao kuhusu...

WABIA WA MAENDELEO WAIPONGEZA TANZANIA KUFIKISHA UMEME VIJIJINI

0
Mkuu wa Mkoa wa Mwanza, Mhe. Said Mtanda,akizungumza  wakati wa kikao cha kwanza kati ya Wakala wa Nishati Vijijini (REA) na Wabia wa Maendeleo...

KAMATI YA BARAZA LA WAWAKILISHI ZANZIBAR INAYOSHUGULIKA NA UTALII , BIASHARA NA KILIMO YAFANYA...

0
Na Mwandishi Wetu. Katika juhudi za kuimarisha ushirikiano wa kikazi na kujionea utekelezaji wa majukumu ya udhibiti wa ubora wa bidhaa nchini, Kamati ya Baraza...

TCDC YAICHALAZA KILIMO KWA BAO 2 – 1

0
Timu ya Mpira wa miguu ya TCDC Sports Club imechukua alama tatu (3) baada cha kuifunga Timu ya Mpira wa miguu ya Wizara ya...

CCM TANGA YANUSA HARUFU YA UPIGAJI UJENZI WA HOSPITALI KILINDI

0
Na Boniface Gideon, KILINDI Chama cha Mapinduzi (CCM) Mkoa wa Tanga kimenusa upigaji wa vifaa vya ujenzi wa Hospitali ya Wilaya ya Kilindi, katika ziara...