SHEIKH ABUBAKAR AHIMIZA UTOAJI SWADAKA KIPINDI HIKI CHA MWEZI MTUKUFU WA RAMADHAN
Na Shomari Binda-Musoma
SHEIKH wa Wilaya ya Musoma Abubakar Mukama amewahimiza waumini wa dini ya Kiislam kutoa swadaka katika kipindi hiki cha mwezi mtukufu wa...
JESHI LA POLISI LAMOKOA MTOTO ALIYETEKWA, MTUHUMIWA AJERUHIWA KWA RISASI
Na Magrethy Katengu – Mzawa MediaDar es Salaam
Jeshi la Polisi Kanda Maalum ya Dar es Salaam limefanikiwa kumuokoa mtoto wa kiume mwenye umri wa...
RAIS SAMIA KUZINDUA MRADI WA MAJI SAME-MWANGA-KOROGWE
Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, Dkt. Samia Suluhu Hassan, leo Jumapili, Machi 9, 2025, anatarajiwa kuwa mkoani Kilimanjaro, ambapo pamoja na mambo...
DKT.MWINYI AZIHAMASISHA NCHI ZA EAC KUANZISHA MIFUKO YA MAENDELEO YA PETROLI
📌 Asema lengo ni kuwa na uhakika wa kuendeleza Sekta ya Mafuta na Gesi Asilia
📌 Afunga Kongamano na Maonesho ya Petroli ya Afrika Mashariki
📌...
TRA NA TFF WAINGIA MAKUBALIANO YA USHIRIKIANO
Mamlaka ya Mapato Tanzania (TRA) imeingia Makubaliano ya Ushirikiano na Shirikisho la Mpira wa Miguu Tanzania (TFF) kwaajili ya kushirikiana kuhamasisha ulipaji Kodi wa...
THBUB YAUNGANA NA DUNIA KUTAMBUA MCHANGO WA WANAWAKE KUELEKEA MACHI 8,2025.
Na Deborah Lemmubi - Dodoma.
Mwenyekiti Tume ya Haki za Binadamu na Utawala Bora Jaji Mstaafu Mathew Mwaimu amesema kuwa katika kuelekea Maadhimisho ya Siku...
TUTAENDELEA KUTENGENEZA SERA RAFIKI KUVUTIA UWEKEZAJI SEKTA YA MAFUTA NA GESI ASILIA-KAMISHNA SHIRIMA
📌 Asema Sekta ya Mafuta nchini imeimarika
📌 Ataja miradi ya kimkakati ujenzi wa mabomba ya gesi na mafuta
Kamishna wa Petroli, Goodluck Shirima amesema kuwa,...
MTUHUMIWA MMOJA AKAMATWA KWA TUHUMA ZA MAUAJI ARUSHA.
Jeshi la Polisi Mkoani Arusha linamshikilia mtu mmoja aitwaye Emmanuel Charles (25) mkazi wa wilaya ya Arumeru kwa tuhuma za mauaji ya binti mmoja...
FCC KUTOA ELIMU KWA UMMA KUHUSU HAKI ZA MLAJI
Tume ya Ushindani (FCC) imeanza maadhimisho ya Wiki ya Haki za Mlaji Duniani, tukio ambalo huadhimishwa kila mwaka tarehe 15 Machi. Hapa nchini, kilele...
“HAKUNA MWENYE UWEZO WA KUFUTA MADENI YA KODI” – CG MWENDA
Kufuatia kukamatwa na Jeshi la Polisi kwa Watuhumiwa wawili wanaodaiwa kufanya udanganyifu kuwa wao ni maafisa wa Mamlaka ya Mapato Tanzania (TRA) na kuwa...













