MBUNGE MATHAYO LEO AKUMBUSHIA BUNGENI ENEO LA MAKOKO JESHINI KUHUSU UJENZI WA SHULE
Na Shomari Binda
MBUNGE wa jimbo la Musoma mjini Vedastus Mathayo ameendelea kuwasemea wananchi bungeni kuhusiana na masuala mbalimbali.
Leo februari 14 bungeni katika bunge la...
KAPINGA ASHIRIKI KIKAO CHA MAWAZIRI WA KISEKTA ARUSHA
📌 Tanzania, Rwanda, Uganga kusaini MOU kuendeleza mradi wa kufua umeme wa pamoja wa Nsongezi
📌 Baraza kusimamia Kongamano na Maonesho ya 11 ya Petroli...
BALOZI DKT PINDI CHANA AKIPITISHWA KATIKA TAARIFA YA MAENDELEO UJENZI WA BARABARA IFADHI YA...
Waziri wa Maliasili na Utalii, Mhe.Balozi, Dkt.Pindi Chana(Mb) akipitishwa katika taarifa ya maendeleo ya ujenzi wa barabara kutoka Loduare - Golini (83km) pamoja na...
MKAMU WA RAIS DKT MPANGO AMEKUTANA NA BALOZI WA JAMUHURI YA UGANDA
Makamu wa Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Mhe. Dkt. Philip Mpango amekutana na kufanya mazungumzo na Balozi wa Jamhuri ya Uganda nchini...
PRECISION YAJIVUNIA COMORO KUWA KITUO BORA CHA SAFARI ZAKE
Meneja wa Precision Air nchini Comoro,Mohamed Rajab Juma ameeleza kuwa safari za Shirika hilo nchini Moroni zinashika nafasi ya pili kwa faida kati ya...
TANZANIA YATUMIA WIKI YA NISHATI INDIA KUNADI VITALU VYA MAFUTA NA GESI ASILIA NCHINI
📌 Lengo ni kuvutia uwekezaji katika Mafuta na Gesi Asilia Bahari kuu na Nchi kavu
📌 Dkt. Biteko aipongeza PURA kutumia majukwaa Kimataifa kutafuta wawekezaji
📌...
GESI ASILIA KUANZA KUTUMIKA KATIKA MAGARI YA SERIKALI
📌 TPDC kusimika vituo vya CNG Mikoa ya Dar esSalaam, Morogoro na Dodoma
Serikali ya Jamhuri ya Muungano wa Tanzania inaendelea kuweka miundombinu ya kutumia...
MGORE MIRAJI AWAASA VIJANA WA UVCCM MUSOMA MJINI KUZINGATIA MAADILI
Na Shomari Binda-Musoma
MJUMBE wa Kamati ya Utekelezaji ya Jumuiya ya Wazazi wa CCM Taifa Mgore Miraji amewaasa vijana wa Jumuiya ya Vijana wa CCM(...
KATIBU TAWALA WA MKOA WA GEITA AZINDUA BODI MPYA YA USHAURI YA HOSPITALI YA...
Katibu Tawala wa Mkoa wa Geita, Mohamed Jumanne Gombati, amezindua rasmi Bodi mpya ya Ushauri ya Hospitali ya Rufaa ya Mkoa wa Geita na...
DKT. BITEKO ANADI FURSA ZA UWEKEZAJI SEKTA YA NISHATI KIMATAIFA
📌 Dkt. Samia achagiza mapinduzi ya nishati Afrika
📌 Ajenda ya Nishati Safi ya Kupikia yajadiliwa kimataifa
Na Ofisi ya Naibu Waziri Mkuu na Waziri wa...














