Monday, November 23, 2026
Tangazo-NHC
Home 2023 September

Monthly Archives: September 2023

KATIBU, CCM, WILAYA

KATIBU CCM WILAYA YA MUSOMA MJINI APONGEZA MASHINDANO YA MATHAYO CUP ,4 ZAFUZU NUSU...

0
Na Shomari Binda-Musoma KATIBU wa Chama cha Mapinduzi (CCM) Wilaya ya Musoma mjini, Burhani Buta amepongeza mashindano ya Mathayo Cup yanayoendelea kwenye uwanja wa shule...

WAZIRI MKUU AIPONGEZA TARURA KWA KUTUMIA TEKNOLOJIA YA MAWE KWENYE UJENZI WA MADARAJA NA...

0
Waziri Mkuu wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, Mhe. Kassim Majaliwa (Mb) ameipongeza Wakala ya Barabara za Vijijini na Mijini (TARURA) kutumia teknolojia ya...

WAZIRI MKUU AZINDUA MPANGO MKAKATI WA AMREF.

0
*Asisitiza mashirika yasiyo ya kiserikali yazingatie maadili WAZIRI MKUU, Kassim Majaliwa amezindua Mpango Mkakati wa miaka nane wa AMREF Tanzania na kuahidi kuwa Serikali itaendelea...

Barabara ya Newala – Masasi ni Muhimu kwa Usafirishaji Mazao Sokoni – Rais Samia

0
Na Immaculate Makilika – MAELEZO Barabara ya Mtwara – Mnivata yenye urefu wa km 50, ni sehemu ya barabara ya kusini itokayo Mtwara – Newala...
MAVUNDE, SEKTA, MADINI

MAVUNDE: SEKTA YA MADINI KUFUNGAMANISHA SEKTA NYINGINE KIUCHUMI KUPITIA TAARIFA ZA MIAMBA

0
#Balozi wa Tanzania nchini Brazil kutangaza fursa Sekta ya Madini nchini humo Waziri wa Madini Mhe. Anthony Mavunde amesema kuwa Sekta ya Madini inatarajiwa kuwa...
NAIBU WAZIRI, MKUU, DOTO

NAIBU WAZIRI MKUU DOTO BITEKO ATOA MAELEKEZO EWURA KUHUSU BEI YA MAFUTA KUPANDA

0
Na Magrethy Katengu Serikali kupitia Mamlaka ya Udhibiti huduma za Nishati na MajinEWURA imesema itahakikisha inashughulikia kwa haraka changamoto zinazopelekea uhaba wa mafuta nchini unahimilika...
DIT, WASHIRIKI, MAONESHO

DIT WASHIRIKI MAONESHO YA KONGAMANO LA 20 LA WAHANDISI NCHINI

0
Taasisi ya Teknolojia Dar Es Salaam inashiriki Maonesho ya Kongamano la 20 ya Wahandisi Nchini ( 20th Annual Engineers Day 2023 ) yanayoendelea katika...
Madereva, kuzingatia, sheria

Madereva watakiwa kuzingatia sheria za usalama barabarani

0
Koplo Rehema Makalla kitengo cha elimu ya usalama barabarani wilaya ya Nyamagana Mkoa wa Mwanza amewataka madereva wa vyombo vya moto kuzingatia sheria za...
MASHABIKI, YANGA, MUSOMA

MASHABIKI WA YANGA MUSOMA MJINI WAANZA SAFARI KUELEKEA RWANDA

0
Na Shomari Binda-Musoma WANACHAMA na mashabiki wa timu ya Yanga tawi la Musoma mjini wameanza safari mchana wa leo kuelekea Kigari nchini Rwanda kuishangilia timu...
KUZALISHA MABATI, WAZALISHAJI, YENYE

TBS YAWATAKA WAZALISHAJI WA MABATI KUZALISHA MABATI YENYE VIWANGO VINAVYOTAKIWA

0
SHIRIKA la Viwango Tanzania limewataka wazalishaji wa Mabati nchini kuzalisha mabati kwa mujibu wa viwango ili kuepuka usumbufu na gharama zisizo za lazima. Akizungumza na...
Celebrating 25 Years of NHIF
FAHARI AFYA