Monday, November 23, 2026
FAHARI AFYA
Home 2023 September

Monthly Archives: September 2023

Mitungi, gesi, 400

Mitungi ya gesi 400 itatolewa kwa Wajasiriamali wilaya ya Ilemela

0
MITUNGI ya gesi 400 itatolewa kwa kina Mama wajasiriamali wa Jimbo la Ilemela na Mbunge wao ambaye pia ni Mjumbe wa Halmashauri Kuu ya...
WANA, FAINALI, MSIMU

WANA FAINALI MSIMU ULIOPITA NYASHO FC NA MAKOKO FC KUCHEZA ROBO FAINALI MATHAYO CUP...

0
Na Shomari Binda-Musoma TIMU 2 zilixocheza fainali msimu uliopita wa Mathayo Cup,Nyasho fc na Makoko fc,zinakutana kesho kwenye robo fainali ya mwisho ya mashindano hayo. Mshindi...
DKT DOTO, BITEKO, WATANZANIA

DKT DOTO BITEKO ; WATANZANIA WANATAKA UMEME WA UHAKIKA WA UMEME USIOKATIKAKATIKA

0
Na Magrethy Katengu Naibu Waziri Mkuu ambaye pia ni Waziri wa Nishati Mhe. Dkt. Doto Biteko aliagiza Shirika la Umeme Tanesco kuhakikisha Watanzania wote wanafikiwa...

Wakulima ongezeni uzalishaji wa mazao ya mbegu za mafuta ya kula

0
Waziri wa Viwanda na Biashara Mhe Dkt Ashatu Kijaji(Mb.) ametoa wito kwa Watanzania kuongeza uzalishaji wa mazao ya mbegu za mafuta ya kula hususan...
BALOZI, MAREKANI, UTEUZI

BALOZI WA MAREKANI APONGEZA UTEUZI WA DKT DOTO BITEKO

0
Dkt. Biteko aahidi ushirikiano na Mashirika ya Kimataifa Sekta ya Nishati. Na Mwandishi wetu Naibu Waziri Mkuu na Waziri wa Nishati Mheshimiwa Dkt. Doto Biteko amekutana...
MBUNGE, MUHONGO, KUONGOZA

MBUNGE MUHONGO KUONGOZA HARAMBEE UJENZI SEKONDARI 2 JIMBONI

0
Na Shomari Binda-Musoma MBUNGE wa jimbo la Musoma vijijini,Profesa Sospeter Muhongo,anatarajiwa kuongoza harambee ya ujenzi sekonari jimboni humo. Harambee ya kwanza itakayoongozwa na mbunge huyo itafanyika...
SIMBACHAWENE, ATOA, TASAF

SIMBACHAWENE ATOA MAAGIZO TASAF

0
Na Mwandishi Wetu WAZIRI wa Nchi, Ofisi ya ya Rais, Menejimenti ya Utumishi wa Umma na Utawala Bora, George Simbachawene ameagiza kusitishwa kwa fedha zinazotolewa...
BRELA, Taasisi, Udhibiti

BRELA yakutana na Taasisi za Udhibiti kuboresha mazingira ufanyaji biashara nchini

0
Wakala wa Usajili wa Biashara na Leseni (BRELA), inakutana na Taasisi za Udhibiti ili kujadili mikakati ya pamoja ya namna ya kutatua mikinzano inayojitokeza...
NDC, SAINI, MIKATABA

NDC YATILIANA SAINI YA MIKATABA YA UCHIMBAJIA MAKAA YA MAWE NA MAKAMPUNI MATANO YA...

0
Na Magrethy Katengu Serikali kupitia Shirika la Taifa la Maendeleo NDC limetiliana saini wa Mikataba ya Uchimbaji wa Makaa ya mawe katika mradi wa Mchuchuma...
WOMEN yahamasisha, Wanawake, Pwani

UN WOMEN yahamasisha Wanawake Pwani kugombea nafasi za uongozi katika chaguzi

0
UN WOMEN yahamasisha Wanawake wa Wilaya tatu za mkoa wa Pwani kushiriki uchaguzi iliwapate uongozi kwaajili ya chaguzi za serikali za mitaa na vitongoji...
Celebrating 25 Years of NHIF
FAHARI AFYA