WAZIRI DKT. GWAJIMA: MTOTO ALIYE CHINI YA UMRI WA MIAKA 18 MARUFUKU KUONEKANA KWENYE...
Na Magreyhy Katengu
Wamiliki wa kumbi za starehe na Washereheshaji (MC) nchini, wametakiwa kuzingatia Sheria ya Mtoto ya Mwaka 2009 ili ya kuwataka kutoruhusu mtoto...
TRC BORESHENI HUDUMA HUSUSANI KWA WASAFIRISHAJI WA MIZIGO
Na Magrethy Katengu
WAZIRI wa Uchukuzi, Prof. Makame Mbarawa ameitaka Bodi ya Wakurugenzi wa Shirika la Reli Tanzania (TRC) kuhakikisha inaisimamia Menejimenti kwenye eneo la...
DKT. ASHATU AFANYA MAZUNGUMZO NA BALOZI WA CHINA
Waziri wa Viwanda na Biashara Mhe. Dkt. Ashatu Kijaji(Mb.) amekutana na kufanya mazungumzo kuhusu kuendeleza uhusiano wa kibiashara na China hususan katika uchakataji wa...
NYAKATO FC YA KWANZA KUTINGA NUSU FAINALI MASHINDANO YA MATHAYO CUP
Na Shomari Binda-Musoma
TIMU ya Nyakato fc imekuwa ya kwanza kutinga nusu fainali ya mashindano ya Mathayo Cup kwa kuifunga timu ya Kitaji fc bao...
WAZIRI SILAA AKOSHWA NA SHIRIKA LA NYUMBA LA TAIFA
WAZIRI wa Ardhi Nyumba na Maendeleo ya Makazi Jerry Silaa amelipongeza Shirika la Nyumba la Taifa (NHC) kwa utekelezaji mzuri wa miradi yake katika...
RC MTANDA AWAALIKA WANANCHI MAONYESHO YA “MARA DAY” WILAYANI SERENGETI
Na Shomari Binda-Musoma
MKUU wa mkoa wa Mara, Said Mtanda amewaalika wananchi kwenye naadhimisho ya maonyesho ya "Mara Day" yanayoanza kesho wilayani Serengeti.
Akizungumza na Waandishi...
Mshindi kwa kilimo cha Pamba 2022 aahidi kupata kilo 2000 kwa hekari
Na Neema Kandoro, Nyang'wale
MKULIMA mshindi kitaifa kwa kilimo cha pamba mwaka 2020/21 kutoka Kijiji cha Kaboha wilayani Nyang'wale Mkoani Geita amewataka wakulima kuongeza juhudi...
GEKUL AWATAKA MAHAKAMA KUSHIRIKIANA NA UTU KWANZA KUWAPA MSAADA YA KISHERIA WAFUNGWA NA...
NAIBU Waziri wa Katiba na Sheria Pauline Gekul ameagiza Mahakama na jeshi la Polisi kuona ni namna gani wanaweza kushirikiana na shirika lisilo la...
THAILAND YAFUNGUA MILANGO WATANZANIA KUJIFUNZA UONGEZAJI THAMANI MADINI
Kampuni Kubwa Yenye Uzoefu wa Miaka 50 Yaonesha Nia Kuwekeza Nchini
Mbibo Aielezea kuwa ni Safari Yenye Manufaa Makubwa kwa Tanzania
TIC Wakaribishwa Kuanzisha Tawi Kuchochea...
ROBO FAINALI YA KWANZA MATHAYO CUP KUPIGWA KESHO, KITAJI FC DHIDI YA NYAKATO FC
Na Shomari Binda-Musoma
MASHINDANO ya Mathayo Cup yaliyondaliwa na mbunge wa jimbo la Musoma mjini, Vedastus Mathayo,yamefika hatua ya robo fainali.
Bingwa wa mashindano haya ataondoka...















