Monday, November 23, 2026
Tangazo-NHC
Home 2023 September

Monthly Archives: September 2023

MAADHIMISHO, USAFI, DUNIANI

MAADHIMISHO YA SIKU YA USAFI DUNIANI YAANZA NA FUKWE ZA BAHARI YA HINDI

0
Mkuu wa Wilaya ya kinondoni jijini Dar es salaam Saad Mtambule ameongoza Wananchi wa Kata ya Kunduchi na Mashirika yasiyoya kiserikali kufanya usafi katika...
DKT, BITEKO, ZIARA

DKT. BITEKO AFANYA ZIARA JNHPP AAHIDI CHANGAMOTO YA UKOSEFU UMEME ITATATULIWA

0
Na Mwandishi wetu Naibu Waziri Mkuu na Waziri wa Nishati, Mhe. Dkt. Doto Biteko amewaeleza watanzania kuwa changamoto ya kukosekana umeme wa uhakika ni ya...
Mahafali, Messa

Mahafali ya 15 Messa yang’ara

0
KUWEPO kwa madarasa ya kulea watoto umri wa kuanzia mwaka na nusu ni njia ya kufanya wazazi wajishughulishe na shughuli za maendeleo bila kuathiriwa. Hayo...
BASHE, NYIHITA, KUWA

BASHE AMSIMIKA NYIHITA KUWA MLEZI TAASISI YA VIJANA YA KILIMO KWANZA MKOA WA MARA

0
Na Shomari Binda-Musoma WAZIRI wa Kilimo, Hussen Bashe amemsikika Nyihita Willfred Nyihita kuwa mlezi wa taasisi ya Tanzania Youth Agro Irrigation Development Netwerk Programme kwa...
WAZIRI MKUU, TARURA, KUTUMIA

WAZIRI MKUU AIPONGEZA TARURA KWA KUTUMIA TEKNOLOJIA YA MAWE KWENYE UJENZI WA MADARAJA NA...

0
Waziri Mkuu wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, Mhe. Kassim Majaliwa (Mb) ameipongeza Wakala ya Barabara za Vijijini na Mijini (TARURA) kutumia teknolojia ya...
Taasisi, Udhibiti, kuweka

Taasisi za Udhibiti zaelekezwa kuweka mazingira wezeshi ya ufanyaji biashara nchini

0
Taasisi za Udhibiti zimeelekezwa kuweka mazingira wezeshi ya ufanyaji biashara nchini ikiwa ni jukumu kuu na la msingi ili kutatua kero za wafanyabiashara na...
TANZANIA, MKONO, AJENDA

TANZANIA YAUNGA MKONO AJENDA YA AUB 2063

0
Na Dorina Makaya -Wizara ya Nishati. Naibu Waziri Mkuu na Waziri wa Nishati Mhe. Dkt. Doto Biteko amesema Tanzania itaendelea kuunga mkono Ajenda ya Maendeleo...
DIT, WITO, DAWATI

DIT WATII WITO WA SERIKALI, WAZINDUA DAWATI LA KIJINSIA KUUKABILI UKATILI

0
TAASISI ya Teknolojia Dar es Salaam (DIT) imezindua Dawati la Jinsia kwa lengo la kuzuia vitendo vya ukatili na kushughulikia matukio yote yanayoripotiwa na...
TBS, WITO, WAHANDISI

TBS WATOA WITO KWA WAHANDISI KUSHIRIKI KATIKA MCHAKATO WA UANDAAJI VIWANGO

0
Shirika la Viwango Tanzania (TBS ) limeshiriki katika maonesho ya 20 ya Wahandisi Jijini Dar es salaam, katika maonesho haya Shirika limepata nafasi ya...
APOSTLE AROME, KULIOMBEA, TAIFA

APOSTLE AROME KULIOMBEA TAIFA LA TANZANIA OKTOBA

0
MUHUBIRI wa Kimataifa kutoka nchini Nigeria kuliombea Taifa la Tanzania mkutano unaotarajiwa kufanyika mapema Mwezi Oktober 2023 Ubungo plaza Jijini Dar es Salaam. Akizungumza Leo...
Celebrating 25 Years of NHIF
FAHARI AFYA