Home 2022
Yearly Archives: 2022
UMMY: WANAWAKE TUMIENI VYAKULA VYENYE MADINI YA FOLIC ILI KUZUIA KUZAA WATOTO WENYE TATIZO...
Na WAF, Dar ES Salaam
Waziri wa Afya Mhe. Ummy Mwalimu ametoa wito kwa wanawake walio kwenye umri wa kuzaa au wanaopanga kupata watoto kula...
SERIKALI YATANGAZA MAJINA YA WAAJIRIWA KADA YA UALIMU NA AFYA
SERIKALI imetangaza kuajiri watumishi wa afya na walimu 16,676 kati ya nafasi za watumishi 17,412 wakiotakiwa huku nafasi 736 zilizokosa waombaji wenye sifa zikitarajiwa...
RUKWA WAIPONGEZA WIZARA YA MAJI
Mkuu wa Mkoa wa Rukwa, Mhe. Joseph Mkirikiti amesema anaridhishwa na jitihada za makusudi zinazoendelea kuchukuliwa na Wizara ya Maji katika kuwafikishia huduma ya...
DC GONGWE: WATOTO WENYE MAHITAJI MAALUMU WATHAMINIWE
Mkuu wa Wilaya ya Kinondoni Godwin Gondwe ameitaka jamii kuwathamini watoto wenye mahitaji Maalumu Kwa kuwapatia haki zao za msingi kiwemo Elimu,Afya na kwani...
KATIBU MKUU WIZARA YA MAJI AMUAGIZA MKANDARASI KUFANYA KAZI USIKU NA MCHANA
Katibu Mkuu Wizara ya Maji, Mhandisi Anthony Sanga amemuagiza Mkandarasi anayejenga mradi wa maji wa Kibaoni katika Halmashauri ya Mpimbwe Mkoani Katavi kuongeza kasi...
PROF. NDALICHAKO: KIKOKOTOO KIPYA KUWEKA UWIANO NA USAWA WA MAFAO
Waziri wa Nchi Ofisi ya Waziri Mkuu Kazi, Vijana, Ajira na Wenye Ulemavu Mhe. Prof. Joyce Ndalichako amefafanua kuwa kikokotoo kipya kinachotarajiwa kuanza tarehe...
KAMISHNA WA MADINI APONGEZA TAWOMA KUREKEBISHA KATIBA
Kamishna wa Madini Dkt. Abdalrahaman Mwanga amekipongeza Chama cha Wanawake Wachimbaji Madini Tanzaniza (TAWOMA) baada ya kufanya marekebisho ya Katiba na Kanuni zinazo kiongoza...
WANANCHI 150 WAJITOKEZA KUPIMA SAMPULI ZA MAJI, DAR ES SALAAM
Wataalamu kutoka Chuo cha Maji wakiendelea na zoezi la ukusanyaji wa sampuli za maji ya visima kwa ajili ya kupima ubora wa maji hayo...
CHUO CHA USTAWI WA JAMII WAJA NA MWAROBAINI WA UKATILI WA KINGONO KATIKA MITANDAO...
Chuo cha Ustawi wa jamii kimefanya utafiti kuhusu ukatilia wa kingono hasa kwenye Mitandao ya kijamii ambao unawakumba wanafunzi wa vyuo mbalimbali nchini.
Hayo yamezungumzwa...
LHRC WAPONGEZA CHAMA CHA MAPINDUZI KUKUBALI KATIBA MPYA
Kituo cha Sheria na Haki za Binadamu (LHRC) kimetoa mapendekezo manne kuhusu mchakato wa katiba mpya baada ya Chama cha Mapinduzi CCM kukubaliana kwenye...













