Wataalamu kutoka Chuo cha Maji wakiendelea na zoezi la ukusanyaji wa sampuli za maji ya visima kwa ajili ya kupima ubora wa maji hayo kwa wakazi wa Jiji la Dar es Salaam.
Zaidi ya wakazi 150 wamejitokeza kushiriki zoezi hilo, kama Chuo cha Maji walivyoahidi kutoa huduma hiyo bure katika kuazimisha wiki ya Utumishi wa Umma.