MAJALIWA AWASILI KAGERA, ASHUHUDIA ZOEZI LA UOKOAJI
Waziri Mkuu Kassim Majaliwa leo Jumapili Novemba 6, 2022 amewasili Mkoani Kagera, na kushuhudia zoezi la uokoaji linaloendelea kufuatia ndege ya Precision Air kupata...
ELLEN SINGERS YAENDA KUONGEZA MAARIFA KWA JAMII, YAGAWA VITABU
Na Magreth Mbinga
Vijana wamepewa wito wa kufanya mazoezi kwaajili ya kujenga afya ya mwili na akili ili kujenga taifa la watu wenye maendeleo na...
WAZIRI MKENDA NA NAIBU WAZIRI KUNDO WAZINDUA KAMPUNI YA WAZOHURU MEDIA GROUP LIMITED//WASISITIZA KUWAUNGA...
Na Innocent Natai, Dodoma
Waziri wa Elimu Sayansi na Teknolojia Mhe Prof Adolf Mkenda (Mb) amewataka vijana wa kitanzania kujenga utamaduni wa kujiajiri na kuwa...
UCHUMI WA ZANZIBAR UNAENDELEA KUKUA-DKT.MWINYI
Rais wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Mhe.Dk.Hussein Ali Mwinyi amesema Uchumi wa Zanzibar umeendelea kukua,mbali na changamoto mbalimbali zinazoikabili Dunia.
Dk.Mwinyi amesema...
I&M BENKI YAWAKUTANISHA WATEJA WAKE NA BODI YA WAKURUGENZI
Na Mwandishi Wetu
Siku ya Alhamisi 27 Oktoba 2022, Benki ya I&M Tanzania hivi karibuni imefanya hafla ya chakula cha jioni na wateja wake iliyofuatiwa...
WATUMISHI WALIOONESHA UDHAIFU KATIKA USIMAMIZI WA MANUNUZI NA MIKATABA KUCHUKULIWA HATUA KALI
OR TAMISEMI
Waziri wa Nchi, Ofisi ya Rais Tawala za Mikoa na Serikali za Mitaa, Mhe. Angellah Kairuki amesema Ofisi ya Rais TAMISEMI itaendelea kuwachukulia...
RAIS CHAKWERA WA MALAWI AWAPA KONGOLE LUGALO GOFU
Rais wa Malawi Mheshimiwa Lazarus Chakwera ameishukuru Tanzania kupitia Mkuu wa Majeshi ya Ulinzi Jenerali Jacob Mkunda kwa ushirikiano inaouonyesha kwa nchi hiyo na...
SERIKALI YABAINISHA MIKAKATI YAKE KATIKA KUSIMAMIA UPATIKANAJI WA DAWA NA VIFAA TIBA.
Na. WAF- DODOMA
SERIKALI kupitia Wizara ya Afya imebainisha mikakati inayoendelea kuchukua katika kuhakikisha upatikanaji wa huduma za dawa, vifaa na vifaa tiba unakuwepo ili...
SHAKA: RAIS SAMIA AMEFUNGUA MATUMAINI MAPYA, FURAHA KWA WATANZANIA
Dar es Salaam
Katibu wa Halmashauri Kuu ya Taifa(NEC) ya Chama Cha Mapinduzi(CCM) Itikadi na Uenezi Ndg.Shaka Hamdu Shaka amempongeza Rais Samia Suluhu Hassan kwa...
MAGONJWA YASIYOAMBUKIZA YANACHANGIA VIFO Mil. 41
Na. WAF - Mwanza
Takwimu za Shirika la Afya Duniani (WHO) za mwaka 2016 zinaonesha kuwa Magonjwa Yasiyoambukiza yanachangia zaidi vifo Mil. 41 ambayo ni...















