Sunday, December 7, 2025
Home 2025 March 1

Daily Archives: March 1, 2025

JESHI LA POLISI MKOA WA MARA RATAMBUA MCHANGO WA MPISHI WA CHAKULA “MAMA FUGO”...

0
Na Shomari Binda-Musoma JESHI la Polisi mkoani Mara limetambua mchango wa mtoaji huduma za chakula Anifa Majura maarufu kama "mama Fugo" na kumpa cheti cha...

MMASUTA WAMWOMBA RAIS DKT. SAMIA SULUHU HASSAN KUWASHIKA MKONO

0
Na Magrethy Katengu—Mzawa MediaDar es Salaam Mtandao wa Maendeleo ya Sanaa na Utamaduni Tanzania (MMASUTA), kupitia kikundi chake cha Sanaa za Maigizo kinachoitwa Kazi Iendelee...

REA YAENDELEA NA USAMBAZAJI WA MITUNGI YA GESI YA KILO SITA KWA BEI YA...

0
📌Mitungi ya gesi ya 26,040 kusambazwa 📌Kila wilaya kupatiwa mitungi ya gesi 3,255 Wakala wa Nishati Vijijini (REA) umeingia mkataba na mtoa huduma kampuni ya Manjis...

UWT YAFANYA KONGAMANO KUMPONGEZA RAIS SAMIA MAPINDUZI SEKTA YA AFYA.

0
Na Boniface Gideon, TANGA Jumuiya ya Wanawake wa Chama Cha Mapinduzi (CCM) Mkoa wa Tanga,leo imefanya kongamano maalumu la kumpongeza Rais Samia kwakufanya Mapinduzi makubwa...

📌RAIS SAMIA AIAGIZA WIZARA YA NISHATI KUPITIA MAPITIO YA SERA YA USAFIRISHAJI MAFUTA

0
📌 Lengo ni kuyafanya makampuni ya usambazaji mafuta upande wa Kaskazini kutumia Bandari ya Tanga. 📌 Asema Serikali imeweka mazingira mazuri ya uwekezaji nchini. 📌Kapinga asema...

WANA ARUSHA WAASWA KUCHANGAMKIA KAMPENI YA MSAADA WA KISHERIA YA MAMA SAMIA

0
Naibu Waziri wa Katiba na Sheria, Mhe. Jumanne Sagini, amepongeza uongozi wa mkoa wa Arusha kwa maandalizi mazuri kuelekea kilele cha Maadhimisho ya Siku...

RAIS SAMIA AWAPAISHA WANAWAKE KATIKA SEKTA YA MADINI

0
📌 Dkt. Biteko asema uwezo wa wanawake sekta ya madini hautiliwi shaka 📌 Ushiriki wa wanawake katika madini kukuza mnyororo wa thamani 📌 Sh. Bilioni 10...

4R ZA DKT SAMIA YAWEZESHA WASANII KUPATA MIKOPO KWA MASHARTI RAHISI NDANI YA MFUKO...

0
Na Deborah Lemmubi-Dodoma. MTENDAJI Mkuu wa Mfuko wa Utamaduni na Sanaa Tanzania Bi Nyakaho Mahemba amesema kuwa Falsafa ya 4R za Dkt Samia kwa ujumla...

ASKOFU “DAO” KUTUMIA REDIO MPYA MUSOMA TETEMO FM KUINUA VIPAJI VYA SANAA YA VIJANA

0
Na Shomari Binda-Musoma ASKOFU Mkuu wa Kanisa la New Life Gospel Community Church Tanzania( NLGCCT) Daniel Ouma maarufu kama (Askofu Dao) amesema ataitumia redio mpya...

MKURUGENZI UFUATILIAJI NA TATHMINI WIZARA YA NISHATI AELEZA JINSI WIZARA INAVYOTOA FURSA KWA WANAWAKE

0
Mkurugenzi wa Ufuatiliaji na Tathmini Wizara ya Nishati, Bi. Anita Ishengoma amesema katika utekelezaji wa majukumu ya kisekta Wizara ya Nishati imetoa fursa za...