Thursday, June 25, 2026
Home 2024

Yearly Archives: 2024

RC MTANDA AIPONGEZA WILAYA YA MUSOMA UANDIKISHAJI WANAFUNZI MWAKA 2024

0
Na Shomari Binda-Musoma MKUU wa mkoa wa Mara Said Mtanda ameipongeza Wilaya ya Musoma kwa kufanya vizuri uandikishaji wa wanafunzi kwa mwaka 2024. Pongezi hizo amezitoa...

MAGIFTI DABO DABO YAMWEZESHA KUMALIZIA UJENZI WA NYUMBA YAKE

0
Januari , 18 , 2024 Bi . Linah Shayo  MkaziMkazi wa Kigamboni  Jijini Dar Es Salaam anaenda kumalizia ujenzi wa Nyumba yake baada ya...

MHE. MAJALIWA AMWAKILISHA RAIS SAMIA KATIKA MKUTANO WA 19 WA WAKUU WA NCHI

0
Waziri Mkuu Kassim Majaliwa leo Januari 18, 2024 ameelekea nchini uganda ambapo anatarajiwa kuongoza ujumbe wa Tanzania kumwakilisha Rais Dkt. Samia Suluhu Hassan katika...

MIFUKO YA HIFADHI YA JAMII INAONDOA UTEGEMEZI UZEENI

0
Na. Peter Haule, WF, Morogoro Wananchi wanatakiwa kupata elimu ya fedha na kujiunga na Mifuko ya Hifadhi ya Jamii ili kuwasaidia wanapozeeka au kustaafu kazi...

WAZAZI NA WALEZI WILAYANI LUDEWA TUWAPELEKE WATOTO MASHULENI

0
Mkuu wa Wilaya ya Ludewa- Victoria Mwanziva ametoa rai kwa wazazi wote kuhakikisha Watoto ambao wamefikia umri wa kuanza masomo ya Awali, Darasa la...

TBS YAKUTANA NA WAZALISHAJI NA WAUZAJI WA BIDHAA ZA MABATI NA MALIGHAFI KANDA YA...

0
 Na Mwandishi Wetu. SHIRIKA la Viwango Tanzania (TBS) limefanya kikao na wadau wa bidhaa za mabati nchini chenye lengo la kujenga uelewa ili kuweka mikakati...

MY LEGACY NA WADAU KUFANYA UCHECHEMUZI WA MASUALA HAYA MUHIMU KWA WANAWAKE ,VIJANA NA...

0
 Na Adery Masta - Dar Es Salaam. Taasisi ya MyLEGACY imejipanga kufanya uchechemuzi wa kubadili fikra na mitizamo lakini pia kuwajengea uwezo wanawake, vijana na...

KAMISHNA WA TAWA AZINDUA MRADI WA JENGO LA OFISI LENYE THAMANI YA ZAIDI YA...

0
Na. Beatus Maganja Kamishna wa Uhifadhi wa Mamlaka ya Usimamizi Wanyamapori Tanzania - TAWA amezindua mradi wa jengo la ofisi lenye jumla ya vyumba 8...

MILIONI 13.55 ZA NOTI BANDIA ZAKAMATWA PWANI

0
Na Scolastica Msewa, Kibaha. Jeshi la Polisi mkoa wa Pwani linawashikiria watu wanne kwa tuhuma za kukutwa na noti bandia za kitanzania za zaidi ya...

DKT.KIRUSWA ATEMBELEA KIWANDA CHA KUCHAKATA MADINI YA KINYWE

0
●Kiwanda kimefanikiwa kuchakata Madini ya Kinywe tani 22,357.25 kwa miaka 2. ● Kiwanda kinachenjua tani 100 za Madini ya Kinywe kwa siku. Na.Samwel Mtuwa - Tanga Naibu...