Home 2022
Yearly Archives: 2022
Waziri Simbachawene, aongeza ari ya Ufaulu Shule ya Msingi Iramba
Na Mwandishi wetu
Waziri wa Nchi Ofisi ya Waziri Mkuu Sera Bunge na Uratibu Mhe. George Simbachawene amempongeza Mwalimu Mkuu wa shule ya Msingi Iramba...
MHE. KATAMBI AWAHIMIZA WAWEZESHAJI STADI ZA MAISHA KUTOA ELIMU KWA VIJANA
Na: Mwandishi Wetu – MWANZA
Naibu Waziri Ofisi ya Waziri Mkuu anayeshughulikia Kazi, Vijana, Ajira na Watu wenye Ulemavu, Mhe. Patrobas Katambi amewataka wawezeshaji stadi...
KONGAMANO LA MAENDELEO YA SEKTA YA HABARI KUHAKIKISHA UHURU WA HABARI UNALINDWA
Na Magreth Mbinga
Waziri wa Habari,Mawasiliano na Teknolojia ya Habari Mh Nape Mosses Nnauye amesema hakuna amani,furaha na maendeleo katika jamii kama kuwepo kwa Uhuru...
PEMBA KUFUNGUKA KIUCHUMI-DK.MWINYI
Makamu Mwenyekiti wa CCM Zanzibar, Rais wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Dk Hussein Ali Mwinyi, ameelezea umuhimu wa kukifungua kisiwa cha...
VIONGOZI WOTE WA KATA NA MATAWI WATAKIWA KUFANYA KAZI NA KUACHANA NA MAJUNGU NA...
https://youtu.be/fPil9ozisSg
Na ZIANA BAKARI
VIONGOZI wa kata na matawi wa Umoja wa Vijana wa CCM (UVCCM), Wilaya ya Ubungo, wametakiwa kufanya kazi kwa uadilifu na kuachana...
TUTAENDELEA KUENZI UHUSIANO WA KIDINI NA KIUTAMADUNI NA UGANDA-MAJALIWA
WAZIRI MKUU Kassim Majaliwa amesema kuwa Serikali ya Jamhuri ya Muungano wa Tanzania itaendelea kuenzi uhusiano wa kidini na kiutamaduni kati yake na Uganda.
Amesema...
WADAU WATAKIWA KUSHIRIKIANA KUTATUA CHANGAMOTO YA UHABA WA MAJI.
Na Magrethy Katengu..
Wadau wa usimamizi na uendelezaji wa rasilimali za maji wa wameagizwa kuhakikisha wanashirikiana na wajumbe wa Jukwaa la maji ili kusaidia kutatua...
Serikali yaja na maazimio, kukabiliana na uharibifu wa mazingira Kibakwe
Na Mwandishi wetu
Serikali yaweka mikakati wa kukabiliana na vitendo vya uharibifu wa mazingira katika vyanzo vya maji katika safu ya milima ya wota na...
WAZIRI MKUU ATOA MAAGIZO KWA WATUMISHI WA HALMASHAURI NCHINI
Awataka kwenda vijijini kuwasikiliza wananchi
WAZIRI MKUU Kassim Majaliwa amewataka watumishi kwenye Halmashauri zote nchini kutenga muda wa siku tatu kati ya siku za kazi...
WAZIRI MCHENGERWA MGENI RASMI KILELE CHA TUZO ZA FILAMU ARUSHA
YAMEBAKI masaa machache kufikia Fainali ya Tamasha la tuzo za Filamu nchini ambapo Mgeni rasmi anatarajiwa kuwa Waziri wa Utamaduni Sanaa na michezo Mohamed...













