Friday, June 26, 2026
Home 2022

Yearly Archives: 2022

DCEA yateketeza kilo 1543 za madawa ya kulevya.

0
Na Hadia Khamis,Mamlaka ya kupambana na kuzuia Dawa za Kulevya nchini DCEA imeteketeza Dawa mbalimbali za kulevya takribani Kilogram 1543 katika kiwanda Cha Saruji...

HAKUNA MRADI UTAKAO SIMAMA CHINI YA UONGOZI WA RAIS SAMIA: BASHUNGWA

0
Karagwe - Kagera Mjumbe wa Halmashauri Kuu ya CCM Taifa na Mbunge wa Jimbo la Karagwe ambaye pia ni Waziri wa Ulinzi na Jeshi la...

NAIBU WAZIRI MASANJA ASHAURI MFUMO WA AJIRA ZA WALIMU UBORESHWE KUKABILIANA NA UHABA WA...

0
Naibu Waziri wa Maliasili na Utalii, Mhe. Mary Masanja (Mb) ametoa mapendekezo ya kuboreshwa kwa mfumo wa ajira za walimu wa shule za msingi...

BAADHI YA VIONGOZI WANAOCHANGIA KATIKA UHARIBIFU WA MAZINGIRA NA VYANZO VYA MAJI KUACHA MARA...

0
Makamu wa Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Mheshimiwa Dkt.Philip Mpango amewataka baadhi ya viongozi wanaochangia katika uharibifu wa mazingira na vyanzo vya...

TANROADS YATENGA BILIONI 17.8 MIRADI YA BARABARA DODOMA

0
Wakala wa Barabara nchini Mkoa wa Dodoma imetenga kiasi cha Shilingi bilioni 17.8 kwa ajili ya ujenzi wa barabara zenye jumla ya urefu wa...

TUVUNJE UKIMYA ,TUZUNGUMZE NA WATOTO KUHUSU AFYA YA UZAZI-DKT.NDOSSI.

0
Na.Faustine Gimu,Elimu ya  Afya  kwa UmmaMorogoro. Wazazi wameaswa kuvunja ukimya na badala yake waweze  kuzungumza na vijana  wao kuhusu afya ya uzazi  ili kuepusha madhara...

WAZIRI MKUU APOKEA MAGARI 51 KUTOKA UJERUMANI

0
*Ni ya mradi wa msaada wa dharura kuboresha shughuli za utalii na uhifadhi WAZIRI MKUU Kassim Majaliwa amepokea magari 51 ambayo ni sehemu ya utekelezaji...

WaKANDARASI WENYE MISAMAHA YA KODI ZIJUMLISHWE NA KODI NYINGINEZO KURAHISISHA UTEKELEZAJI WA MIRADI

0
Naibu Waziri wa Maliasili na Utalii,Mhe. Mary Masanja (Mb) amekishauri kikao cha Bodi ya Barabara Mkoa kwamba Mkandarasi anapopata msamaha wa kodi ya ongezeko...

Rais Samia kuzindua zoezi la ujazaji maji Bwawa la Kufua Umeme la Julius Nyerere

0
Na. Beatrice Sanga-MAELEZO Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, Mheshimiwa Dkt. Samia Suluhu Hassan anatarajiwa kuwa mgeni rasmi katika tukio la kushuhudia ufungaji wa...

LUGHA YA KISWAHILI NI FURSA-DKT.MWINYI

0
Rais wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Dk.Hussein Ali Mwinyi amezitaka wizara na taasisi za serikali kuendelea kutekeleza maagizo ya serikali ikiwemo...