Home 2022
Yearly Archives: 2022
WATU 11 MBARONI KWA TUHUMA ZA UHALIFU MITANDAONI
https://youtu.be/DFNLKsM8Z9I
Na Magrethy Katengu
Jeshi la Polisi Kanda Maalum ya Dar es Salaam kwa kushirikiana na timu maalum ya kuzuia na kupambana na makosa ya mtandao...
Rais Samia Atoa maagizo kwa Wizara 5 Utunzaji wa Mazingira
Na. Beatrice Sanga- MAELEZO
Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Dokta Samia Suluhu Hassan ameziagiza Wizara 5 za Kisekta Nchini ikiwemo Kilimo, Uvuvi, Maji...
MACHINGA MKOA WA DAR ES SALAAM WAISHUKURU SERIKALI KWA KUBORESHA MAZINGIRA YA BIASHARA
Na Magrethy Katengu
Chama Cha Wafanyabiashara ndogondogo Maarufu kama Wamachinga Mkoa wa Dar es salaam wameishukuru Serikali ya awamu ya sita kwa jitihada za kuwaboreshea...
MATAWI 197 YA UMOJA WA WAZAZI CCM YAPATA KADI NA MIHULI
Jumla ya matawi ya Jumuiya ya wWazazi CCM 197 wilayani Sengerema mkoani Mwanza yameondokana na ukosefu wa mihuli na kadi za jumuiya hiyo baada...
SERIKALI YATAMBULISHA PROGRAMU KUISAIDIA JAMII KUPAMBANA NA MABADILIKO YA TABIANCHI
Ofisi ya Makamu wa Rais imefanya Kikao kazi cha kutambulisha Programu ya Shirika la Umoja wa Mataifa la kuendeleza Mitaji kwa ajili ya Maendeleo...
MAONI YAKUSANYWA KUHAKIKISHA MPANGO WA KITAIFA WA KUMLINDA MWANAMKE UNAPATA SULUHISHO LAKE
Taasisi ya The Mwalimu Nyerere kwa kushirikiana na UN Women na Serikali kupitia Wizara ya Maendeleo ya jamii, jinsia , wanawake na makundi maalumu imekutana...
Kiwanda cha magari cha GF Vehicles Assemblers (GFA) cha shinda tuzo ya Ubora 20222023...
Na mwandishi wetu
Kiwanda cha kwanza cha kutengeneza na kuunganisha magari nchini Tanzania GF cha Vehicles Assemblers (GFA) kilichopo Kibaha mkoani Pwan kimeibuka mshindi wa...
WAZIRI MKENDA AHIMIZA MWISHO WA MWEZI JANUARI 2023 UJENZI WA VETA WILAYA ZOTE UWE...
Na Mathias Canal, Dodoma
Katika Bajeti iliyopitishwa Bungeni Jijini Dodoma ya Wizara ya Elimu, Sayansi na Teknolojia ya mwaka 2022/2023 serikali imetenga jumla ya Bilioni...
Mawaziri wakutana kuimarisha mikakati ya Kupambana na ukatili wa kijinsia kwa watoto
Na Mwandishi wetu.
Waziri wa Nchi Ofisi ya Waziri Mkuu Sera Bunge na Uratibu Mhe. George Simbachawene ahimiza ushirikishwaji wa wadau wote katika kuunganisha nguvu...
MBUNGE DITOPILE AKABIDHI PIKIPIKI KATA ZOTE KONDOA MJINI
Mbunge wa Viti Maalum Mkoa wa Dodoma, Mariam Ditopile amekabidhi Pikipiki Nane kwenye Kata zote nane za Halmashauri ya Mji Kondoa Mkoani Dodoma zenye...













