Home 2022
Yearly Archives: 2022
RAIS SAMIA ATUMA SALAMU ZA SIKUKUU, ATAHADHARISHA WATUMIAJI WA BARABARA
Na. Mercy Maimu
Rais wa Tanzania, Mhe. Dkt. Samia Suluhu Hassan ametoa salamu za sikukuu za Krimasi na Mwapa Mpya huku akiwataka watumiaji wa barabara...
“TUFANYE MAZOEZI ILI TUISAIDIE NCHI KUONDOKANA NA ONGEZEKO LA MAGONJWA YASIYO AMBUKIZA” MHE. PAULINE...
Na Mathias Canal, WEST-Kilimanjaro
Naibu Waziri wa Utamaduni Sanaa na Michezo Mhe. Pauline Gekul amewataka wakazi wa jimbo la Rombo mkoani Kilimanjaro na watanzania wote...
MAPOKEZI YA VIONGOZI WA UMOJA WA VIJANA TAIFA MKOA WA DAR ES SALAAM YAFUNIKA...
Mwenyekiti wa Umoja wa vijana wa Chama Cha Mapinduzi UVCCM taifa Mohamed Kawaida akiwa na Makamu wake Rehema Sumbo Leo kwa mara ya kwanza...
SERIKALI INAFANYA MABORESHO MAKUBWA MUHIMBILI-MAJALIWA
WAZIRI MKUU Kassim Majaliwa amesema Serikali ya awamu ya sita inayoongozwa na Rais Mheshimiwa Dkt. Samia Suluhu Hassan inaendelea kufanya maboresho makubwa katika Hospitali...
NAIBU WAZIRI MASANJA AGAWA VIFAA TIBA VYENYE THAMANI YA SHILINGI MILIONI 14 NA MITUNGI...
Mbunge wa Viti Maalum Mkoa wa Mwanza, ambaye pia ni Naibu Waziri wa Maliasili na Utalii, Mhe. Mary Masanja akiwa ameambatana na Umoja wa...
NAIBU WAZIRI KATAMBI AONGOZA KIKAO KAZI CHA TATHMINI NA MIKAKATI YA UTEKELEZAJI MAJUKUMU OFISI...
Naibu Waziri Ofisi ya Waziri Mkuu anayeshughulikia Kazi, Vijana, Ajira na Watu wenye Ulemavu Mhe. Patrobas Katambi amekutana na kufanya mazungumzo na Menejimenti ya...
NDINGA LA KISHUA WIKI YA NNE , TIGO WATOA MAMILIONI NA VIFAA VYA Hisense
Na Mwandishi Wetu.
> Tigo Yawakabidhi Mamilioni na Vifaa vya Hisense Washindi wa Droo ya Nne ya Kampeni ya Ndinga la Kishua
Dar es Salaam 23...
JUMUIYA YA WAZAZI WILAYA YA ILALA NA KUSINI UNGUJA WAPONGEZA MRADI WA RELI YA...
Katika kuhakikisha wanasimamia vyema utekelezaji wa ilani ya Chama cha Mapinduzi, Jumuiya ya Wazazi ya Chama Wilaya ya Ilala kwa kushirikiana na wenzao wa...
WATUHUMIWA 377 WA DAWA ZA KULEVYA WAHUKUMIWA, MAGARI, PIKIPIKI, BOAT NA NYUMBA ZATAIFISHWA.
Na. Mwandishi wetu
DAR ES SALAAM-TANZANIA
Jeshi la Polisi Nchini Kupitia Kitengo cha kuzuia na kupambana na Madawa ya kulevya (Anti Drug Unit)kwa kushirikiana na Polisi...
WAZAZI WAASWA KUWEKA MSUKUMO WA KUTOA ELIMU YA AFYA YA UZAZI KWA VIJANA SHULENI...
Na. Faustine Gimu, Elimu ya Afya kwa Umma.
Wazazi wameaswa kuweka msukumo wa kutoa elimu ya afya ya uzazi kwa vijana walioko shuleni ili kuwajengea afya...













