Home 2022
Yearly Archives: 2022
TANESCO yaendeleza jitihada kukabiliana na hali ya upungufu wa umeme nchini
Na Beatrice Sanga -MAELEZO
Desemba 16, 2022
Shirika la Umeme Tanzania (TANESCO), limefanikiwa kupunguza makali ya upungufu wa umeme kutoka wastani wa megawati 350 kwa wiki...
HALI YA UMEME INAENDELEA KUIMARIKA, TANESCO WAFANIKIWA KUPATA MEGAWATT WALIZOAHIDI
Na Magreth Mbinga
TANESCO yatoa taarifa ya kukamilika kwa mipango ya muda mfupi ambayo waliahidi hivo imewezesha kupunguza makali ya mgao wa umeme walianza na...
HATUA ZA KISHERIA ZITACHUKULIWA KWA YEYOTE ATAKAYEJARIBU KUPANDISHA BEI ZA BIDHAA KIHOLELA
Naibu Waziri wa Uwekezaji, Viwanda na Biashara Exaud Kigahe ametoa rai kwa Wafanyabiashara wa bidhaa mbalimbali nchini kuwa waadilifu katika kipindi hiki cha Sikukuu...
SERIKALI KUWEKA MAZINGIRA WEZESHI YA UWEKEZAJI NA UFANYAJI WA BIASHARA KATIKA SEKTA YA CHAKULA...
Katibu Mkuu Wizara ya Uwekezaji, Viwanda na Biashara Dkt. Hashil Abdallah amesema kuwa Wizara hiyo ni moja ya Wizara za Kisekta hapa nchini zinazotekeleza...
WATUMISHI WA UMMA WAMETAKIWA KUTAMBUA NAFASI ZAO
Na Magreth Mbinga
Watumishi wa umma wametakiwa kutambua nafasi zao sababu watu wengi wapo nje wanatamani nafasi hizo kwa kujituma kwa moyo mmoja watafanya vizuri...
SERIKALI YATOA SHILINGI MILIONI 50 KUMALIZA UJENZI WA ZAHANATI MTUMILE
Na Mwandishi wetu.
Serikali kupitia Ofisi ya Rais Tawala za Mikoa na Serikali za Mitaa imeahidi kutoa fedha ili kumalizia ujenzi wa boma la zahanati...
DHANA YA AFYA MOJA KUSHIRIKISHA WENYE ULEMAVU
NA. MWANDISHI WETU
Mkurugenzi wa Taasisi ya Tanzania Mission for Illiteracy and Poverty Alleviation (TAMIPA) Bw. Martin Kidudu amesema kundi la wenye ulemavu litaendelea kushirikishwa...
TAMASHA LA VIJANA WA VYUO VIKUU KUKUSANYA VIJANA TAKRIBANI ELFU 30
Na. Magreth Mbinga
Umoja wa vijana wa vyuo vikuu Jimbo kuu la Dar es Salaam wameandaa mkesha mkubwa uliobeba jina la usiku wa sifa wenye...
SERIKALI YAENDELEA KUWEKA MAZINGIRA WEZESHI KWA MASHIRIKA BINAFSI
Na Mercy Maimu
Naibu Waziri wa Uwekezaji Viwanda na Biashara amesema Serikali itaendelea kuweka mazingira wezeshi kwa ajili ya watu na mashirika binafsi ambayo yapo...
WAKUFUNZI NA WATENDAJI WA MASUALA YA WATU WENYE ULEMAVU WAPATIWA MAFUNZO YA STADI ZA...
Ofisi ya Waziri Mkuu – Kazi, Vijana, Ajira na Wenye Ulemavu kupitia Idara ya Maendeleo ya Vijana inaratibu Programu ya Stadi za Maisha (Life...













