Home 2022
Yearly Archives: 2022
MAJALIWA: SIJARIDHISHWA NA MIRADI YA AFYA SUMBAWANGA
Aagiza TAKUKURU iharakishe uchunguzi wa matumizi ya fedha katika mradi hiyo
WAZIRI MKUU Kassim Majaliwa amesema hajaridhishwa na maendeleo ya ujenzi wa miradi ya Hospitali...
BEN POL AACHIA KIBAO CHA KUFUNGIA MWAKA
MSANII nguli wa Muziki wa R&B hapa nchini Behnam Paul maarufu kama Ben Pol ameachia kibao kipya kinachofahamika kama Nyumbani.
Katika wimbo wa Nyumbani Ben...
WADAU, WATAALAMU WA AFYA WAKUTANA KUFANYA TATHMINI PROGRAMU UTOAJI ELIMU YA AFYA.
Na Boniface Gideon, TANGA
Wataalamu na wadau wa Afya wamekutana Jijini Tanga kwa ajili ya kutathminiprogramu ya Wadau wa utoaji wa Elimu ya Afya kwa...
WAZIRI SIMBACHAWENE AHIMIZA WANANCHI KUTUNZA MAZINGIRA
Na Mwandishi wetu
Waziri wa Nchi Ofisi ya Waziri Mkuu Sera Bunge na Uratibu Mhe. George Simbachawene amehimiza wananchi kuendelea kulinda na kutunza mazingira na...
MWAROBAINI WACHEMSHWA KUDHIBITI UPANGAJI NAULI HOLELA MADEREVA TAX
Na Magrethy Katengu .
Mamlaka ya udhibiti usafiri wa Ardhini (LATRA) imesema kabla ya kufika mwezi Juni mwaka 2023 Wanaosafirisha abiria kwa Tax tayari magari...
NMB YAANZISHA UFUNGUAJI AKAUNTI NDANI YA DAKIKA MBILI
Na Mwandishi WetuZama mpya ya huduma za kibenki imejiri nchini baada ya Benki ya NMB jana kuzindua suluhisho ya kisasa inayomwezesha mteja kufungua akaunti...
WAKUU WA MIKOA HAKIKISHENI MBOLEA INAWAFIKIA WAKULIMA-MAJALIWA
WAZIRI MKUU Kassim Majaliwa amewataka Wakuu wa Mikoa kote nchini wahakikishe kunakuwa na idadi ya kutosha ya mawakala wa pembejeo za kilimo katika maeneo...
“UZALENDO NI TUNU KWA TAIFA” KATIBU MKUU MMUYA
Na Mwandishi wetu- Mara
Wasomi na vijana wamekumbushwa umuhimu wa kuwa wazalendo, kujenga ,kuiendeleza na kuilinda Nchi na watu wake kwaajili ya maslahi ya Maendeleo...
SERIKALI YAONGEZA BAJETI YA MIKOPO ELIMU YA JUU
Na. Magreth Mbinga
Serikali imeongeza bajeti ya mikopo ya elimu ya juu hadi kufikia shilingi 654 bilioni kutoka shilingi 570 bilioni za awali, sawa na...
DKT. KIRUSWA AWATAKA WACHIMBAJI WADOGO LINDI KUTOJIHUSISHA NA UTOROSHAJI MADINI
Na.Samwel Mtuwa- Ruangwa.
Naibu Waziri wa Madini ameyasema hayo leo Desemba 13 , 2022 katika hafla ya uzinduzi wa mafunzo kwa wachimbaji wadogo wa Mkoa...













