Home 2022
Yearly Archives: 2022
RIPOTI YA MABADILIKO YA TABIA NCHI NA HAKI ZA BINADAMU YAZINDULIWA JIJINI DAR ES...
.Na Magrethy Katengu
Mtandao wa Jinsia Elimu Mabadiliko ya Tabia ya nchi Umesema Makundi ya Wanawake,watoto wazee na vijana wa katika kipindi hiki kigumu ambapo...
IGP WAMBURA 23739 WAFANYIWA UKATILI
Na Mercy Maimu
Mkuu wa Jeshi la Polisi nchini IGP Camillus Wambura amewataka Watendaji wa Dawati la Jinsia na Watoto kutoa huduma bora kwa wahanga...
“UTAFITI WA MBEGU UZINGATIE HALI YA HEWA” DK. JINGU
NA MWANDISHI WETU - DODOMA
Watafiti wa masuala ya kilimo nchini wametakiwa kutumia matokeo ya utafiti wao wanaofanya katika kuboresha mbegu bora za mazao zinazoendana...
WANAFUNZI WATAKIWA KUWA WAZI KWA VIONGOZI WAO NA WATU WAO WA KARIBU
https://youtu.be/vnWzR9woChM
MAKAMU Mkuu wa Chuo, William Anangisye, amewataka wanafunzi wa Chuo kikuu Cha Dar es Salaam, kuwa wazi kwa viongozi wao na watu wao wa...
SERIKALI IMEENDELEA KUIMARISHA URATIBU WA DHANA YA AFYA MOJA NCHINI
NA.MWADISHI WETU
Serikali imeendelea kuimarisha uratibu katika utekelezaji wa dhana ya Afya Moja kwa kushirikiana na wadau wote wa Afya na wadau wa maendeleo kwa...
DKT. BITEKO AIGOMEA TAARIFA YA MGODI WA GEITA
Waziri wa Madini Dkt. Doto Biteko ameikataa taarifa ya Mgodi wa Geita Gold Mine Limited (GGML) ambayo haijabainisha mahitaji ya ardhi katika leseni yake...
WAKUFUNZI MASUALA YA WENYE ULEMAVU WANOLEWA STADI ZA MAISHA
Na: Mwandishi Wetu – MWANZA
Serikali kupitia Ofisi ya Waziri Mkuu – Kazi, Vijana, Ajira na Wenye Ulemavu imeendelea kutoa elimu ya Stadi za Maisha...
Waziri Simbachawene , atoa wito wananchi kuacha kujihusisha na Uvuvi haramu
Na Mwandishi wetu
Waziri wa Nchi Ofisi ya Waziri Mkuu Sera Bunge na Uratibu Mhe. George Simbachawene ametoa rai kwa wananchi wa Mtera kuacha kutumia...
Ajira ya chuo kikuu isiwe kuangalia GPA pekee lazima wapimwe, wafanye na usaili-WAZIRI MKENDA
Na Mathias Canal, WEST-Dar es salaam
Kuanzia sasa serikali itaanza kuzitazama ajira za vyuo vikuu badala ya kuangalia ubora wa ufaulu yaani GPA pekee sasa...
WADAU WANACHAMA WANAOTUMIA USAFIRI WA BAHARI KUTOKA NCHI 15 AFRIKA WAKUTANA KUJADILI UDHIBITI MAZINGIRA...
NA Magrethy Katengu
Imeelezwa kuwa Ili kusaidia mazingira ya maji ya bahari yanatuzwa vizuri wadau wa mazingira kutoka nchi mwanachama 15 wa Afrika wameshiriki katika...













