Saturday, June 27, 2026
Home 2022

Yearly Archives: 2022

WAZIRI MKUU AAGIZA HOSPITALI YA KATAVI IANZE KUTOA HUDUMA

0
Waziri Mkuu Kassim Majaliwa amemuagiza Mganga Mkuu wa Hospitali ya Rufaa ya Mkoa wa Katavi, Dkt. Patrice Serafin ahakikishe ifikapo Januari Mosi , 2023...

WAZIRI SIMBACHAWENE, APOKEA MCHANGO WA MADAWATI

0
Na mwandishi wetu Waziri wa Nchi Ofisi ya Waziri Mkuu Sera Bunge na Uratibu Mhe. George Simbachawene amepongeza vijana waliojiunga katika Kikundi cha Kisima umoja...

WANANCHI WATAKIWA KUFUATA TARATIBU NA MIONGOZO YA AFYA.

0
https://youtu.be/76SNxhSYPck Na ZIANA BAKARIWIZARA ya Afya imewataka wananchi kufuata taratibu na miongozo ya Afya ili kuepuka na magonjwa ya mlipuko ambayo yatawaletea matatizo makubwa endapo...

WANA CCM HATUNA MUDA WA MALUMBANO – SHAKA

0
*Ataka nguvu kubwa ielekezwe kuwaunga mkono Rais Dk. Samia, Dk. Mwinyi kujenga nchi na Chama* KATIBU wa Halmashauri Kuu ya Taifa (NEC) ya CCM Itikadi...

WANAHABARI KEMENI UPOTOSHWAJI WA TAARIFA ZINAZOWEZA KULETA TAHARUKI KWA WANANCHI

0
WAF-DSM Wito umetolewa kwa waandishi wa habari kuandika na kuripoti habari sahihi zinazohusiana na magonjwa ya milipuko na kukemea taarifa za upotoshaji ambazo zinaweza kuleta...

JAMII YATAKIWA KUFUATA TARATIBU NA MIONGOZO YA AFYA ILI KUEPUKANA NA MAGONJWA YA MILIPUKO.

0
https://youtu.be/nf1NJP4tVqQ Serikali kupitia Wizara ya Afya imesema kuwa pamoja na kuhakikisha Ugonjwa wa Ebola hauingii nchini, pia imejipanga kuhakikisha kwamba mgonjwa akipatikana nchini anatibiwa bila...

TANZANIA YAKABIDHI UENYEKITI MAWAZIRI ZIWA TANGANYIKA KWA BURUNDI

0
Serikali ya Tanzania imeikabidhi Burundi kiti cha uenyekiti wa Mawaziri waliopo katika Mkataba wa Kikanda wa Usimamizi Endelevu wa Ukanda wa Ziwa Tanganyika na kusisitiza...

USAFI NI KINGA MUHIMU DHIDI YA UGONJWA WA EBOLA

0
Serikali kupitia Wizara ya Afya imesema, ushirikano wa pamoja na wadau mbalimbali nchini unahitajika ili kuendelea kuwajengea wanajamii uwelewa wa kutosha ili waweze kuzingatia...

MIAKA 61 YA UHURU NCHI IMEPIGA HATUA KUBWA KATIKA MAENDELEO-MHE. SIMBACHAWENE

0
NA MWANDISHI WETU. Waziri wa Nchi Ofisi ya Waziri Mkuu Sera Bunge na Uratibu Mhe. George Simbachawene amesema nchi imepiga hatua kubwa katika ujenzi wa...

TANZTECH ELECTRONICS LIMITED KUANZA UTENGENEZAJI VISHIKWAMBI NCHINI//WAZIRI MKENDA AWEKA MASHARTI MATATU

0
Na Mathias Canal, WEST-Dodoma Wizara ya Elimu, Sayansi na Teknolojia imesema haina sababu ya kuagiza Vishikwambi kutoka nje ya nchi itaunga mkono jitihada za kampuni...