Home 2022
Yearly Archives: 2022
INALIPA WAZINDUA PROGRAM AMBAYO ITAPUNGUZA TATIZO LA AJIRA KWA VIJANA
Na Magreth Mbinga
Kampuni ya biashara ya mtandaoni ya Inalipa leo Novemba 21 ,2022 imezindua programu mpya ya kibunifu ya uza ambayo inatazamiwa kuwa chombo...
OFISI YA WAZIRI MKUU KUSHIRIKI MAADHIMISHO YA WIKI YA HUDUMA ZA FEDHA
Na: Mwandishi Wetu – MWANZA
Ofisi ya Waziri Mkuu – Kazi, Vijana, Ajira na Wenye Ulemavu kupitia Idara ya Hifadhi ya Jamii itashiriki katika maadhimisho...
WAZIRI SIMBACHAWENE, AHIMIZA MAFUNZO YA ITIFAKI KUWA ENDELEVU
Na Mwandishi wetu
Waziri wa Nchi wa Ofisi ya Waziri Mkuu sera Bunge na Uratibu Mhe. George Simbachawene amesema ipo haja, mafunzo ya itifaki na...
WAJUMBE WA MKUTANO MKUU CCM WAMETAKIWA KUCHAGUA VIONGOZI MAKINI, WAADILIFU AMBAO WATATOA MIONGOZO...
Mjumbe wa Kamati Kuu ya Chama cha Mapinduzi Taifa na Waziri Mkuu Kassim Majaliwa leo Novemba 20, 2022 ameshiriki Mkutano Mkuu wa CCM mkoa...
SERIKALI YA MAPINDUZI YA ZANZIBAR KUSHIRIKIANA NA KAMPUNI ZA TEHAMA ILI KUKUZA TEKNOLOJIA
Serikali ya Mapinduzi ya Zanzibar kushirikiana na kampuni za tehama ili kukuza Teknolojia nchini
Hayo yamebainishwa na Waziri wa Nchi Afisi ya Rais Kazi, Uchumi...
UZINDUZI WA CHAMA CHA WAMILIKI MATIPA NA MITAMBO KIZINDULIWA NA NAIBU WAZIRI ATUPELE
Na Magreth Mbinga
Naibu Waziri wa ujenzi na Uchukuzi Atupele Mwakibete (Mb) anatarijiwa kuwa mgeni Rasmi katika uzinduzi wa chama Cha wamiliki wa Matipa na...
SHIRIKA LA VIWANGO TANZANIA (TBS) LATAKIWA KUSHIRIKI KIKAMILIFU KATIKA UTAYARISHAJI WA VIWANGO VYA KIMATAIFA
Naibu Katibu Mkuu Wizara ya Uwekezaji, Viwanda na Biashara Dkt. Hashil Twalib Abdallah alitaka Shirika la Viwango Tanzania (TBS) kushiriki kikamilifu katika utayarishaji wa...
TAASISI ZA FEDHA NCHINI ZAHIMIZWA KUTOA MIKOPO YENYE RIBA NAFUU KWA WAJASIRIAMALI
Waziri wa Uwekezaji, Viwanda na Biashara Mhe. Dkt. Ashatu Kijaji (Mb) ahimiza taasisi za Fedha Nchini kutoa mikopo yenye riba nafuu Kwa wajasiriamali.
Mhe. Kijaji...
WAJUMBE WA KIKOSI KAZI CHA TNBC WAJADILI CHANGAMOTO, FURSA NA MABORESHO KATIKA SEKTA YA...
Kaimu Katibu Mkuu Wizara ya Uwekezaji, Viwanda na Biashara Bw. Ally Gugu tar 17 Novemba, 2022 ameongoza kikao Kazi cha sita cha Tanzania National...
SERIKALI IMEDHAMIRIA KUTEKELEZA KWA VITENDO MAZINGIRA YA BIASHARA (MKUMBI)
Waziri wa Uwekezaji, Viwanda na Biashara Mhe. Dkt. Ashatu Kijaji (Mb) amesema kuwa Serikali ya awamu ya sita inayoongozwa na Rais wa Jamhuri ya...













