Home 2026
Yearly Archives: 2026
TOHASA YAJA NA KAMPENI KUWA MAKINI OKOA MAISHA KWA MADEREVA BODABODA
Na Mwandishi Wetu
KAMPENI maalum ya “Kuwa Makini Okoa Maisha” kwa madereva wa pikipiki maarufu kama bodaboda imeanza rasmi mkoani Dar es Salaam, ikiwa na...
ORYX GAS YAGAWA MITUNGI 600 YA GESI KWA WAJASIRIAMALI BAGAMOYO
Na Mwandishi Wetu
WAJASIRIAMALI 600 wakiwemo wafanyabiashara ya kukaanga samaki naMama lishe katika Jimbo la Bagamoyo mkoani Pwani wamepatiwa mitungi ya gesi ya kupikia ya...
KILIMO CHA BANGI MARA CHAPUNGUA KWA ASILIMIA 80 – DCEA
Kamishna Jenerali wa Mamlaka ya Kudhibiti na Kupambana na Dawa za Kulevya (DCEA), Aretas Lyimo, amesema kilimo cha bangi katika Mkoa wa Mara kimepungua...
WANAFUNZI WAHIMIZWA KUJIKITA KATIKA MASOMO YA SAYANSI KUNUFAIKA NA FURSA ZA SCHOLARSHIP ZA SERIKALI
Wanafunzi wa shule za sekondari nchini wamehimizwa kuwekeza zaidi katika masomo ya Sayansi, Teknolojia na Hisabati (STEM) ili waweze kunufaika na fursa mbalimbali za...
MHE.JOHARI, DKT.SHEKALAGHE WAJADILI MIKAKATI YA KUIMARISHA UTEKELEZAJI WA SHERIA NCHINI
Mwanasheria Mkuu wa Serikali, Mhe. Hamza S. Johari amekutana na kufanya mazungumzo na Katibu Mkuu wa Wizara ya Katiba na Sheria, Dkt. Seif Abdallah...
AFRIKA YAWEKA MIKAKATI YA KUHARAKISHA VIWANDA NA BIASHARA
Na. Saidina Msangi, WF, Abidjan, Côte d’Ivoire.
Naibu Waziri wa Fedha, Mhe. Mshamu Ali Munde (Mb), kwa niaba ya Waziri wa Fedha, Mhe. Balozi Khamis...
DC MAPUNDA: TAMAA YA MAISHA YA HARAKA YAWAINGIZA VIJANA KWENYE DAWA ZA KULEVYA
Na Magrethy Katengu--Dar es salaam
Mkuu wa Wilaya ya Temeke, Sixtus Mapunda, amesema sababu kubwa inayowasukuma baadhi ya vijana kujihusisha na usafirishaji wa dawa za...
SERIKALI YAZINDUA MRADI WA MIKOPO NAFUU UJENZI WA VITUO VIDOGO VYA MAFUTA VIJIJINI
📌 Mradi unatekelezwa na Wakala wa Nishati Vijijini (REA) kupitia Benki ya AZANIA
📌 Lengo la Mradi ni kupunguza kwa kiwango kikubwa biashara hatarishi ya...
WAJASIRIAMALI BAGAMAYO WAPATIWA MAFUNZO MATUMIZI SALAMA YA NISHATI SAFI YA KUPIKIA
Na Mwandishi Wetu
KATIKA kuunga mkono juhudi za Serikali za kuhamasisha matumizi ya nishati safi ya kupikia, Oryx Gas Tanzania imetoa mafunzo ya matumizi salama...
TANZANIA YASUKUMA AJENDA YA VIWANDA AFRIKA
Na. Saidina Msangi, WF, Abidjan, Côte d’Ivoire.
Naibu Waziri wa Fedha, Mhe. Mshamu Ali Munde, kwa niaba ya Waziri wa Fedha, Mhe. Balozi Khamis Mussa...













