Home 2026
Yearly Archives: 2026
RAIS DKT. MWINYI: ZANZIBAR NA USWISI KUENDELEZA USHIRIKIANO WA KUIMARISHA SEKTA YA AFYA
Rais wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi, Mhe. Dkt. Hussein Ali Mwinyi, amesema Serikali ya Mapinduzi ya Zanzibar imejipanga kuimarisha mifumo ya...
WATAALAM WA NDANI WAFANIKISHA UPASUAJI WA MASHINE ZA USIKIVU (Cochlear Implant) KWA MARA YA...
Na Abduly Madenge, WAF – Dar es Salaam
Tanzania imeandika historia mpya katika sekta ya afya baada ya wataalamu wa Hospitali ya Taifa Muhimbili (MNH)...
AFRIKA YAGEUZA USHINDANI WA MATAIFA MAKUBWA DUNIANI KUWA FURSA KIMKAKATI
Wakati mataifa makubwa duniani yakizidisha ushindani wa ushawishi barani Afrika, serikali za Afrika zinazidi kutumia ushindani huo kama fursa ya kusukuma mbele maslahi yao...
NAIBU WAZIRI LONDO ASHANGAZWA NA UTHABITI WA MAABARA ZA TBS.
Na Mwandishi Wetu.
UWEKEZAJI unaofanywa katika Taasisi ya Viwango Tanzania (TBS) umeongeza uwezo wa taasisi hiyo kulinda afya za Watanzania, thamani ya fedha za wananchi...
SERIKALI INATHAMINI MCHANGO WA TAASISI ZA DINI.
Na Mwandishi - Karagwe.
WAZIRI wa Nchi, Ofisi ya Waziri Mkuu - Kazi, Ajira na Mahusiano Mhe. Deus Sangu amesema Serikali itaendelea kudumisha ushirikiano na...
DC BAHI AKABIDHI GARI RUWASA, AMKARIBISHA MENEJA MPYA MKOA
Mkuu wa wilaya ya Bahi Mhe. Joachim Thobias Nyingo amekabidhi gari jipya aina ya ‘Toyota Pickup’ kwa Meneja wa Wakala wa Maji na Usafi...
PROF MKENDA: SERIKALI KUENDELEA KUWEKEZA KWA WANAFUNZI BORA WA SAYANSI NA TEKNOLOJIA
Waziri wa Elimu, Sayansi na Teknolojia, Prof. Adolf Mkenda,akizungumza na waandishi wa habari jana Julai 27,2026 jijini Dodoma kuhusu uteuzi wa wanafunzi 1,050 waliofanya...
NAIBU WAZIRI LONDO AWATAKA WAZALISHAJI KUTUMIA HUDUMA ZA TBS
NA EMMANUEL MBATILO, DAR ES SALAAM
UWEKEZAJI unaofanywa katika Taasisi ya Viwango Tanzania (TBS) umeongeza uwezo wa taasisi hiyo kulinda afya za Watanzania, thamani ya...
MADEREVA WASISITIZWA USAFIRISHAJI SALAMA WA KEMIKALI
Na Okello Thomas
Madereva wanaosafirisha makaa ya mawe nchini wamehimizwa kuzingatia kikamilifu sheria, kanuni na taratibu zinazosimamia usafirishaji wa kemikali na bidhaa hatarishi ili kulinda...
GCLA YAKUTANA NA WADAU KUIMARISHA USAFIRISHAJI WA SALFA
Na. Judith Meingarai
Mamlaka ya Maabara ya Mkemia Mkuu wa Serikali (GCLA) imewakutanisha wadau wa biashara na usafirishaji wa kemikali aina ya sulphur (salfa) kujadili...













