Home 2026
Yearly Archives: 2026
TRA KARIAKOO YAWAELIMISHA WAFANYABIASHARA KUHUSU MABADILIKO YA SHERIA ZA KODI 2026/2027
Kariakoo, Julai 30, 2026
Mamlaka ya Mapato Tanzania (TRA), Mkoa wa kikodi Kariakoo imeendesha semina maalum kwa wafanyabiashara ikiwa ni sehemu ya juhudi za kuendelea...
MOROCCO YAAHIDI KUENDELEZA USHIRIKIANO WA KIUCHUMI NA TANZANIA
Na Mwandishi Wetu, Dar es Salaam
Mahusiano ya kidiplomasia kati ya Ufalme wa Morocco na Jamhuri ya Muungano wa Tanzania yameendelea kuimarika kwa kasi tangu...
WABUNIFU WA KITANZANIA KUONYESHA TEKNOLOJIA ZAO TANGA
Waziri wa Elimu, Sayansi na Teknolojia, Prof. Adolf Mkenda, ametangaza maadhimisho ya Wiki ya Kitaifa ya Elimu, Ujuzi na Ubunifu kwa mwaka 2026, yatakayofanyika...
EWURA KANDA YA KASKAZINI YAWAJENGEA UWEZO MAAFISA HUDUMA KWA WATEJA NA MAHUSIANO
Na.Mwandishi Wetu-Babati, Manyara
Mamlaka ya Udhibiti wa Huduma za Nishati na Maji (EWURA) Kanda ya Kaskazini imeendesha semina ya kuwajengea uwezo Maafisa wa Huduma kwa...
TANGA KUWA KITOVU CHA WIKI YA KITAIFA YA ELIMU, UJUZI NA UBUNIFU 2026
Waziri wa Elimu, Sayansi na Teknolojia, Prof. Adolf Mkenda,akizungumza na waandishi wa habari kuelekea maadhimisho ya Wiki ya Kitaifa ya Elimu, Ujuzi na Ubunifu...
MEDINOVA YAONGEZA HUDUMA ZA TIBAMAZOEZI KWA TEKNOLOJIA YA KISASA
Na Mwandishi Wetu
Hospitali ya Medinova Specialized Polyclinic imezindua rasmi huduma ya Tibamazoezi (Physiotherapy) ikiwa ni sehemu ya mkakati wa kupanua huduma za kibingwa na...
NYABUNDEGE : ASILIMIA 73.6 YA MIKOPO TADB IMETOLEWA KATIKA AWAMU YA SITA
Na Mwandishi Wetu, Dodoma
BENKI ya Maendeleo ya Kilimo Tanzania (TADB) imesema imeendelea kuimarisha nafasi yake katika kufadhili sekta ya kilimo nchini baada ya mtaji...
MKAKATI MPYA WA MARCON AFRIKA WAJARIBU USHAWISHI ULIOPOTEA WA UFARANSA
UFARANSA:
RAIS wa Ufaransa, Emmanuel Macron, anakabiliwa na changamoto kubwa ya kidiplomasia wakati nchi hiyo ikijaribu kujenga upya uhusiano wake na Afrika baada ya miaka...
SIASA ZA KIJIOGRAFIA ZINAZOIZUNGUKA MAKUBALIANO YA AFYA KATI YA TANZANIA NA MAREKANI
TANZANIA: Uamuzi wa Tanzania kuingia katika ushirikiano wa miaka mitano wa afya na Marekani unazidi kuwa zaidi ya makubaliano ya nchi mbili. Katika duru...
TBS WAKUTANA NA WAZALISHAJI , WAINGIZAJI NA WASAMBAZAJI WA BIDHAA ZA VIPODOZI NCHINI.
Na Mwandishi Wetu.
SHIRIKA la Viwango Tanzania (TBS) limekutana na wadau wa sekta ya vipodozi nchini kwa lengo la kutoa elimu kuhusu matakwa ya viwango,...












