Home 2026
Yearly Archives: 2026
KAFULILA KUONGOZA MHADHARA WA UMMA KUHUSU NAFASI YA UBIA (PPP) KATIKA MAENDELEO YA WATU
ARUSHA
Kituo cha Ubia kati ya Sekta ya Umma na Sekta Binafsi (PPP Centre) kinatarajiwa kufanya mhadhara wa umma utakaolenga kujadili mchango wa ubia kati...
NGASONGWA AANZA ZIARA MWANZA, AWEKA MKAKATI KUKOMESHA BIDHAA BANDIA
Na Mwandishi Wetu
Kaimu Mkurugenzi Mkuu wa Tume ya Ushindani (FCC), Bi. Khadija Ngasongwa, ameanza ziara ya kikazi mkoani Mwanza kwa lengo la kuimarisha udhibiti...
TFS YAWAELIMISHA WAFANYABIASHARA WA MAZAO YA MISITU
WAKALA wa Huduma za Misitu Tanzania (TFS) wametoa elimu kwa wafanyabiashara na wachongaji wa vinyago katika eneo la Mwenge jijini Dar es Salaam kuhusu...
BITEKO: TANZANIA IMEPIGA HATUA KUBWA KATIKA AJENDA YA NISHATI SAFI YA KUPIKIA
š Asema wajibu wa kila Mtanzania ni kuhakikisha mafanikio yanakuwa endelevu
KIZIMKAZI, ZANZIBAR
Naibu Waziri Mkuu Mstaafu na Mbunge wa Jimbo la Bukombe, Mhe. Dkt. Doto...
RC SENYAMULE ARIDHISHWA HALI YA UJENZI UWANJA MPYA WA MPIRA NZUGUNI JIJINI DODOMA.
Na Deborah Lemmubi-Dodoma.
Mkuu wa Mkoa wa Dodoma Mhe Rosemary Senyamule leo ametembelea mradi wa ujenzi wa Uwanja mpya wa Mpira unaojengwa katika eneo la...
MIAKA 40 YA COSTECH: UTAFITI UNAVYOBADILI MAISHA YA WAFUGAJI
Clement akiwa na ngāombe/eneo la malisho
*******************
MTANANA, KONGWA, DODOMA ā Kwa miaka mingi, Clement Alfonce alifuga ngāombe kwa kutegemea malisho ya asili. Ngāombe wake walizunguka...
MIAKA 40 YA COSTECH: MKURUGENZI MKUU AKAGUA MIRADI YA UTAFITI KUKABILIANA NA MABADILIKO YA...
Clement Alfonce akizungumza na ITV akiwa shambani
***************
KONGWA, DODOMA ā Katika eneo ambalo ukame unaweza kubadilisha malisho kuwa vumbi na kumlazimisha mfugaji kupeleka mifugo yake...
EWURA YAWAASA WANANCHI KUCHAGUA WATOA HUDUMA WENYE LESENI
Meneja wa EWURA Kanda ya Ziwa akizungumza na waandishi wa habari kwenye maonesho ya Nanenane Nyamhongoro Jijini Mwanza ikiwa imesalia siku moja maonesho hayo...
NM-AISTĀ KINARA WA MAONESHO YA NANENANE KANDA YA KASKAZINIĀ 2026
Taasisi ya Afrika ya Sayansi na Teknolojia ya Nelson Mandela (NM-AIST) imeibuka kinara miongoni mwa Taasisi za Elimu katika Maonesho ya 33 ya Kilimo,...













