Sunday, October 11, 2026
Home 2026

Yearly Archives: 2026

NM-AIST  KINARA WA MAONESHO YA NANENANE KANDA YA KASKAZINI  2026

0
Taasisi ya Afrika ya Sayansi na Teknolojia ya Nelson Mandela (NM-AIST) imeibuka kinara miongoni mwa Taasisi za Elimu katika Maonesho ya 33 ya Kilimo,...

RC MAKALLA AIPONGEZA  NM-AIST KWA UBUNIFU NA TAFITI ZINAZOCHOCHEA MAPINDUZI KATIKA KILIMO NA MIFUGO

0
Mkuu wa Mkoa wa Arusha, Mhe. CPA Amos Makalla, ameipongeza Taasisi ya Afrika ya Sayansi na Teknolojia ya Nelson Mandela (NM-AIST) kwa tafiti na...

BARAZA LA USHINDANI LAJA NA MFUMO WA KIDIJITALI KURAHISISHA RUFAA ZA WANANCHI

0
Na Mwandishi Wetu, Dodoma Baraza la Ushindani (FCT limeendelea kuimarisha utoaji wa huduma kwa wananchi kwa kutumia teknolojia za kidijitali, likiwataka wananchi na wadau kutumia mfumo...

NANE NANE 2026: WAJASIRIAMALI WAFURAHIA ELIMU YA TBS KANDA YA KATI, WASEMA IMEWAPA MWANGA...

0
 Na Mwandishi Wetu. LINDI — Wajasiriamali na wananchi wanaoshiriki Maonesho ya Nane Nane Kanda ya Kusini wamepata fursa ya kupata elimu muhimu kuhusu ubora wa...

ORIJIN YAWAUNGANISHA MARAFIKI KWENYE GUMZO LA LADHA

0
Katika sehemu nyingi za burudani, mazungumzo ya marafiki siku hizi hayaishii kwenye muziki au mpira pekee. Mara kwa mara kuna anayemuuliza mwenzake kama tayari...

MAKUBALIANO YA AFYA TANZANIA, MAREKANI YABADILI DIPLOMASIA YA AFYA AFRIKA

0
TANZANIA: Ushirikiano mpya wa afya kati ya Tanzania na Marekani umevuka mipaka ya makubaliano ya kawaida ya misaada, na sasa unaonekana kuwa jaribio muhimu la...

NANE NANE 2026: TBS YATIA MKAZO UBORA WA BIDHAA KUSHINDANA SOKO LA AFRIKA

0
   Na Adery Masta . Katika kipindi ambacho Maonesho ya Nane Nane 2026 yanaendelea nchini, Shirika la Viwango Tanzania (TBS) limewataka wazalishaji wa bidhaa nchini...

FCC YATOA ELIMU NANENANE, YALENGA SOKO LENYE USHINDANI NA ULINZI WA MLAAJI

0
Na Mwandishi Wetu, Dodoma Kaimu Mkurugenzi Mkuu wa Tume ya Ushindani (FCC), Bi. Khadija Ngasongwa, ameshiriki kilele cha Maonesho ya 33 ya Kimataifa ya Kilimo...

RAIS SAMIA AIELEKEZA TAMISEMI KUSIMAMIA HUDUMA ZA UGANI KWA TIJA NA UFANISI

0
Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, Mhe. Dkt. Samia Suluhu Hassan, ameiagiza Ofisi ya Waziri Mkuu, Tawala za Mikoa na Serikali za Mitaa...

RAIS SAMIA AIPONGEZA TADB KUWA MDHAMINI MKUU NANENANE, AIPATIA TUZO

0
RAIS Samia Suluhu Hassan amesema Serikali itaendelea kuimarisha upatikanaji wa mitaji kwa wadau wa sekta ya kilimo kupitia Benki ya Maendeleo ya Kilimo Tanzania...