Sunday, July 12, 2026
Home 2026

Yearly Archives: 2026

PROF. SHEMDOE: WALIMU NI NGUZO YA MAENDELEO YA TAIFA

0
-Walimu 35 walioshinda tuzo za ufundishaji kupatiwa viwanja WALIMU nchini wamehimizwa kuendelea kufanya kazi kwa bidii, kujituma na kutumia mbinu bunifu za ufundishaji ili kuimarisha...

WRRB YAKAZIA UADILIFU KATIKA MFUMO WA STAKABADHI ZA GHALA

0
Na Mwandishi Wetu MKURUGENZI Mtendaji wa Bodi ya Usimamizi wa Stakabadhi za Ghala (WRRB), Asangye Bangu ametoa onyo kali kwa watu wanaojihusisha na udanganyifu na...

NEMC YAMTAMBUA JACKLINE ELIABI KWA WASILISHO BORA LA UCHUMI MZUNGUKO

0
Baraza la Taifa la Hifadhi na Usimamizi wa Mazingira (NEMC) limemtambua mwanafunzi wa Darasa la Sita, Jackline Eliabi wa Shule ya Msingi Manyinga, Wilaya...

NEMC YATUNUKU TUZO SHULE BORA ZA UHIFADHI WA MAZINGIRA DSM

0
Baraza la Taifa la Hifadhi na Usimamizi wa Mazingira (NEMC) limetoa tuzo na vyeti kwa shule za Msingi zinazofanya vizuri katika uhifadhi na usimamizi...

KPMG YAHAMASISHA VIJANA KUHIFADHI MAZINGIRA

0
NA EMMANUEL MBATILO, DAR ES SALAAM Kampuni ya KPMG Tanzania imeamua kuendelea kudhamini shughuli mbalimbali zinazohamasisha utunzaji wa mazingira kwa vijana na wanafunzi ikiwa ni...

SERIKALI YAENDELEA KUSISITIZA UMUHIMU WA KUZINGATIA VIWANGO , JUKWAA LA BIASHARA LA VIWANGO 2026...

0
 Na Mwandishi Wetu Serikali imeendelea kusisitiza umuhimu wa kuzingatia viwango katika uzalishaji wa bidhaa na utoaji wa huduma kama njia ya kuimarisha ushindani wa bidhaa...

WAZIRI SANGU AIELEZA ILO MAMBO SITA YANAYOIPAISHA TANZANIA KATIKA SEKTA YA KAZI

0
Waziri wa Nchi, Ofisi ya Waziri Mkuu - Kazi, Ajira na Mahusiano Mhe. Deus Sangu akizingumza katika Mkutano Mkuu wa 114 wa Shirika la...

ORYX GAS YAFANYA USAFI SOKO LA FERI, YAHAMASISHA MATUMIZI YA NISHATI SAFI KULINDA MAZINGIRA

0
Katika kuendeleza kampeni za uhifadhi wa mazingira, Oryx Gas imeungana na wafanyabiashara wa Soko la Kimataifa la Samaki Feri kufanya usafi wa mazingira na...

TADB YAPOKEA TUZO KWA KUENDELEZA KILIMO ENDELEVU NA UHIFADHI WA MAZINGIRA

0
Benki ya Maendeleo ya Kilimo Tanzania (TADB) imetunukiwa Tuzo leo tarehe 5 Juni 2026, Siku ya Mazingira Duniani kutokana na mchango wake mkubwa katika...

TPDC YAKABIDHI KARAKANA YA KISASA YA CNG KWA CHUO KIKUU CHA DAR ES SALAAM.

0
Dar es Salaam, Juni 5, 2026  Shirika la Maendeleo ya Petroli Tanzania (TPDC) limekabidhi rasmi Karakana ya kuongeza mfumo wa matumizi ya gesi asilia Iliyoshindiliwa...