Home Kitaifa ORIJIN YAWAUNGANISHA MARAFIKI KWENYE GUMZO LA LADHA

ORIJIN YAWAUNGANISHA MARAFIKI KWENYE GUMZO LA LADHA

Katika sehemu nyingi za burudani, mazungumzo ya marafiki siku hizi hayaishii kwenye muziki au mpira pekee. Mara kwa mara kuna anayemuuliza mwenzake kama tayari ameionja ORIJIN na anaionaje ladha yake.

Kinywaji hicho kimeleta mjadala kutokana na mchanganyiko wa herbs, roots na fruits za Kiafrika unaotoa ladha ya uchungu na utamu. Hilo limewafanya baadhi ya watumiaji kulinganisha uzoefu wao na kuwahamasisha wengine kujaribu ili wajipatie maoni yao binafsi.

Kwa sasa ORIJIN inapatikana katika aina tofauti zikiwemo Bitters na Mixed (RTD), jambo linalompa mtumiaji nafasi ya kuchagua kulingana na anachokipendelea.

LEAVE A REPLY

Please enter your comment!
Please enter your name here
Captcha verification failed!
CAPTCHA user score failed. Please contact us!