Home 2026
Yearly Archives: 2026
ZIARA YA RAIS SAMIA URUSI YAZAA MATUNDA, WANAFUNZI KUNUFAIKA NA UFADHILI WA MASOMO NA...
Serikali kupitia Wizara ya Elimu, Sayansi na Teknolojia imesaini hati tatu za makubaliano ya ushirikiano wa kielimu na Urusi zitakazowezesha kubadilishana wataalamu, kuendeleza tafiti...
BAJETI YA 2026/27 KUIJENGA TANZANIA YA DIRA YA 2050
Serikali imesema Bajeti Kuu ya mwaka wa fedha 2026/27 ni ya kipekee kwa kuwa ndiyo bajeti ya kwanza itakayotumika kutekeleza Dira ya Taifa ya...
DKT. MAULID ASISITIZA UONGOZI WA KIMKAKATI KWENYE USIMAMIZI WA SEKTA YA ELIMU
Mtendaji Mkuu wa ADEM, Dkt Maulid J. Maulid leo umefungua Mafunzo ya Uongozi wa Kimkakati (Strategic Leadership) kwa viongozi wa shule za sekondari wa...
CBE YAHUISHA MITAALA TISA KUENDANA NA TEKNOLOJIA NA MAHITAJI YA SOKO LA AJIRA
Chuo cha Elimu ya Biashara (CBE) kipo katika mchakato wa kupitia na kuhuisha mitaala tisa ya masomo ili iendane na mabadiliko ya sayansi na...
UJUMBE WA TANZANIA WASHIRIKI MAADHIMISHO YA KUZUIA UTUMIKISHWAJI WA MTOTO GENEVA
Jaji wa Mahakama ya Rufani, Mhe. Dkt. Yose Joseph Mlyambina (kushoto) Kamishna wa Kazi, kutoka Ofisi ya Waziri Mkuu - Kazi, Ajira na Mahusiano...
WRRB YANADI UFANISI WA MFUMO WA STAKABADHI ZA GHALA MISRI, YAFUNGUA MILANGO YA BIASHARA...
Na Mwandishi Wetu
Mkurugenzi Mtendaji wa Bodi ya Usimamizi wa Stakabadhi za Ghala (WRRB), Asangye Bangu, ameshiriki Jukwaa la Tanzania na Misri la Utalii, Biashara...
KONGAMANO LA TANZANIA NA MISRI LAFUNGUA FURSA MPYA ZA BIASHARA, UWEKEZAJI NA UTALII
Na Mwandishi Wetu Misri
Mahusiano ya muda mrefu kati ya Tanzania na Misri yameendelea kupata nguvu mpya kufuatia kufanyika kwa Kongamano la Biashara, Uwekezaji na...
WILAYA YA LUSHOTO YAPOKEA MRADI WA USAMBAZAJI NA UUZAJI WA MITUNGI YA GESI KWA...
Wananchi wa Wilaya ya Lushoto wamepata fursa mpya ya kunufaika na nishati safi ya kupikia baada ya wilaya hiyo kupokea rasmi mradi wa usambazaji...
MFUMO WA EMS KULETA UWAZI NA UFANISI KATIKA SOKO LA JUMLA LA FEDHA ZA KIGENI.
Benki Kuu ya Tanzania (BoT) leo, tarehe 08 Juni 2026, imezindua Mfumo wa Kielektroniki wa Kuoanisha Miamala (Electronic Matching System – EMS) katika Soko...
TANZANIA YASHIRIKI JUKWAA LA UTALII, BIASHARA NA UWEKEZAJI KATI YA TANZANIA NA MISRI
Cairo, Misri,
Katibu Mkuu Wizara ya Maliasili na Utalii Dkt. Hassan Abbasi leo Juni 8, 2026 ameshiriki Ufunguzi wa Jukwaa la Utalii, Biashara na Uwekezaji...













