Home 2026
Yearly Archives: 2026
DCEA YAZINDUA FILAMU YA ‘KIFURUSHI’ KUPAMBANA NA USAFIRISHAJI WA DAWA ZA KULEVYA
NA EMMANUEL MBATILO, DAR ES SALAAM
Tume ya Kudhibiti na Kupambana na Dawa za Kulevya (DCEA) imezindua filamu ya “Kifurushi” itakayooneshwa katika mabasi yanayosafiri mikoa...
DKT MKILIA : ” USAJILI WA LAZIMA WAANZA , TUME YA ULINZI WA TAARIFA...
Na Mwandishi Wetu.
Mkurugenzi Mkuu wa Tume ya Ulinzi wa Taarifa Binafsi (PDPC), Dkt. Emmanuel Mkilia, ametoa wito kwa taasisi zote zinazokusanya au kuchakata taarifa...
WATAALAMU WAAGIZWA KUONGEZA KASI YA UTEKELEZAJI WA PROGRAMU YA AFDP
Na; Mwandishi Wetu - Chato
Naibu Katibu Mkuu Wizara ya Mifugo na Uvuvi Profesa Mohammed Ali Sheikh, Ametoa wito kwa wataalam kutoka katika Sekta zinazotekeleza...
WATAALAMU FCC NA ZFCT WAJADILI CHANGAMOTO NA FURSA ZA USHINDANI WA BIASHARA
Na Mwandishi Wetu
Baraza la Ushindani Halali Zanzibar (ZFCT) limefanya ziara ya mafunzo katika Tume ya Ushindani ya Haki (FCC) kwa lengo la kujifunza na...
TANZANIA YAELEZA MAFANIKIO YA UJUMUISHWAJI WA WATU WENYE ULEMAVU COSP19, YAAHIDI KUIMARISHA UPATIKANAJI WA...
Na Mwandishi Wetu, New York, Marekani
Serikali ya Tanzania imeeleza mafanikio makubwa iliyoyapata katika kuimarisha ustawi na ujumuishwaji wa watu wenye ulemavu, huku ikisisitiza umuhimu...
WAKULIMA WA PAMBA IGUNGA WAJITOKEZA KWA WINGI KUFUNGUA AKAUNTI
Wakulima wa zao la pamba kutoka vijiji vya Mbutu, Iyogelo, Ilambakuki, Imalanguzu na Mwamakoma vilivyopo katika Wilaya ya Igunga, Mkoa wa Tabora, wamehamasika kufungua...
WALIOCHELEWA KURIPOTI JKT WAONGEZEWA MUDA HADI JUNI 15
Mkuu wa Tawi la Operation na Mafunzo wa JKT, Brigedia Jenerali Peter Mnyani,akizungumza na waandishi wa habari leo Juni 12,2026 katika Mako Makuu ya...
SERIKALI YASISITIZA NAFASI YA UTAFITI KATIKA KUJENGA UCHUMI WA MAARIFA
NA EMMANUEL MBATILO, DAR ES SALAAM
Serikali imesisitiza umuhimu wa kuimarisha elimu, utafiti na ubunifu kama nguzo muhimu za kufanikisha utekelezaji wa Dira ya Taifa...
RAIS DKT. MWINYI: SMZ ITAENDELEA KUSHIRIKIANA NA WADAU KUIMARISHA SEKTA YA AFYA NCHINI
Rais wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi, Mhe. Dkt. Hussein Ali Mwinyi, amesema Serikali itaendelea kushirikiana na taasisi na wadau mbalimbali wa...
GAVANA TUTUBA: MIGOGORO YA MASHARIKI YA KATI YAONGEZA CHANGAMOTO ZA KIUCHUMI SADC
MAGAVANA wa Benki Kuu za nchi wanachama wa Jumuiya ya Maendeleo Kusini mwa Afrika (SADC) wamekutana jijini Dar es Salaam kujadili mikakati ya kukabiliana...













