Home 2026
Yearly Archives: 2026
SERIKALI YASISITIZA USIMAMIZI BORA WA MALI ZA UMMA KUPITIA GAMIS
Na. Josephine Majura, WF, PWANI
Serikali imezitaka taasisi zote za umma nchini kuimarisha usimamizi wa mali za Serikali kwa kuhakikisha taarifa zote za mali zinaingizwa...
TANZANIA YAUNGA MKONO MKATABA MPYA WA KIMATAIFA WA KULINDA WAFANYAKAZI WA MTANDAONI
Na: OWM (KAM) – Geneva, Uswisi
Ujumbe wa Tanzania umeunga mkono Mkataba mpya wa Kimataifa unaolenga kulinda haki, usalama na ustawi wa Wafanyakazi wa Mtandaoni...
NACONGO KUANDAA JUKWAA LA MWAKA LA MASHIRIKA YASIYO YA KISERIKALI DODOMA
Na Magrethy Katengu--Mzawa MediaDar es salaam
Baraza la Taifa la Mashirika Yasiyo ya Kiserikali (NaCoNGO) linatarajia kufanya Jukwaa la Mwaka la Mashirika Yasiyo ya Kiserikali...
DCEA YAZINDUA FILAMU YA ‘KIFURUSHI’ KUPAMBANA NA USAFIRISHAJI WA DAWA ZA KULEVYA
NA EMMANUEL MBATILO, DAR ES SALAAM
Tume ya Kudhibiti na Kupambana na Dawa za Kulevya (DCEA) imezindua filamu ya “Kifurushi” itakayooneshwa katika mabasi yanayosafiri mikoa...
DKT MKILIA : ” USAJILI WA LAZIMA WAANZA , TUME YA ULINZI WA TAARIFA...
Na Mwandishi Wetu.
Mkurugenzi Mkuu wa Tume ya Ulinzi wa Taarifa Binafsi (PDPC), Dkt. Emmanuel Mkilia, ametoa wito kwa taasisi zote zinazokusanya au kuchakata taarifa...
WATAALAMU WAAGIZWA KUONGEZA KASI YA UTEKELEZAJI WA PROGRAMU YA AFDP
Na; Mwandishi Wetu - Chato
Naibu Katibu Mkuu Wizara ya Mifugo na Uvuvi Profesa Mohammed Ali Sheikh, Ametoa wito kwa wataalam kutoka katika Sekta zinazotekeleza...
WATAALAMU FCC NA ZFCT WAJADILI CHANGAMOTO NA FURSA ZA USHINDANI WA BIASHARA
Na Mwandishi Wetu
Baraza la Ushindani Halali Zanzibar (ZFCT) limefanya ziara ya mafunzo katika Tume ya Ushindani ya Haki (FCC) kwa lengo la kujifunza na...
TANZANIA YAELEZA MAFANIKIO YA UJUMUISHWAJI WA WATU WENYE ULEMAVU COSP19, YAAHIDI KUIMARISHA UPATIKANAJI WA...
Na Mwandishi Wetu, New York, Marekani
Serikali ya Tanzania imeeleza mafanikio makubwa iliyoyapata katika kuimarisha ustawi na ujumuishwaji wa watu wenye ulemavu, huku ikisisitiza umuhimu...
WAKULIMA WA PAMBA IGUNGA WAJITOKEZA KWA WINGI KUFUNGUA AKAUNTI
Wakulima wa zao la pamba kutoka vijiji vya Mbutu, Iyogelo, Ilambakuki, Imalanguzu na Mwamakoma vilivyopo katika Wilaya ya Igunga, Mkoa wa Tabora, wamehamasika kufungua...
WALIOCHELEWA KURIPOTI JKT WAONGEZEWA MUDA HADI JUNI 15
Mkuu wa Tawi la Operation na Mafunzo wa JKT, Brigedia Jenerali Peter Mnyani,akizungumza na waandishi wa habari leo Juni 12,2026 katika Mako Makuu ya...













