Saturday, October 10, 2026
Home 2026

Yearly Archives: 2026

BODI YA REB YARIDHISHWA NA USAMBAZAJI UMEME KISIWANI JIBONDO

0
Bodi ya Nishati Vijijini (REB) imeeleza kuridhishwa kwake na kasi ya usambazaji wa nishati ya umeme katika vitongoji vya Kisiwa cha Jibondo, kilichopo katika...

MFUMO WA PBPA WAWEKA UHAKIKA WA MAFUTA NCHINI

0
Na Mwandishi Wetu, Morogoro Wakala wa Uagizaji Mafuta kwa Pamoja (PBPA) umeeleza kuwa Mfumo wa Uagizaji Mafuta kwa Pamoja umeendelea kuhakikisha Tanzania inapata bidhaa za...

TUME YA ULINZI WA TAARIFA BINAFSI ( PDPC ) YAANZA UKAGUZI KWA WAKUSANYAJI NA...

0
Na Mwandishi Wetu. Tume ya Ulinzi wa Taarifa Binafsi (PDPC) imeanza zoezi la ukaguzi wa uzingatiaji wa Sheria ya Ulinzi wa Taarifa Binafsi, Sura ya...

SERIKALI YAZINDUA ‘UGHAIBUNI LOAN’

0
Naibu Waziri, Ofisi ya Waziri Mkuu - Kazi, Ajira na Mahusiano, Mhe. Dkt. Evaline Munisi (wa tatu kutoka kushoto) akizindua rasmi Ughaibuni Loan wakati...

USHIRIKIANO WA NHIF NA ZHSF WAVUTIA KAMATI YA BAJETI YA BARAZA LA WAWAKILISHI

0
Na Mwandishi Wetu, Dodoma Kamati ya Bajeti ya Wajumbe wa Baraza la Wawakilishi Zanzibar imeupongeza Mfuko wa Taifa wa Bima ya Afya (NHIF) kwa kazi...

GCLA ENDELEENI KUWAJENGEA UWEZO WADAU WA TIBA ASILI

0
Mganga Mkuu wa Mkoa wa Mbeya, Dkt. Elizabeth Myema (kushoto), akipata maelezo kuhusu majukumu ya Mamlaka ya Maabara ya Mkemia Mkuu wa Serikali kutoka...

TFS YATOA ELIMU KWA WAFANYABIASHARA WA MAZAO YA MISITU

0
Na Mwandishi Wetu – Dar es Salaam Wakala wa Huduma za Misitu Tanzania (TFS) umetoa elimu kwa wafanyabiashara wa mazao ya misitu katika eneo la...

TADB NA ZEEA KUSHRIKIANA KUIMARISHA UWEKEZAJI NA UFADHILI WA KILIMO ZANZIBAR

0
Na Mwandishi Wetu BENKI ya Maendeleo ya Kilimo Tanzania (TADB) na Wakala wa Uwezeshaji Wananchi Kiuchumi Zanzibar (ZEEA) zimesaini Hati ya Makubaliano (MoU) kwa lengo...

VETA: UJUZI MSINGI WA UTEKELEZAJI WA DIRA YA TAIFA 2050

0
Mkurugenzi Mkuu wa Mamlaka ya Elimu na Mafunzo ya Ufundi Stadi (VETA), CPA. Anthony Kasore, amesema ujuzi ndio msingi wa utekelezaji wa Dira ya...

NM-AIST YAWASILISHA ZAIDI YA BUNIFU 20 WIKI YA ELIMU, UJUZI NA UBUNIFU.

0
Taasisi ya Afrika ya Sayansi na Teknolojia ya Nelson Mandela (NM-AIST) imeendelea kutoa elimu kwa wananchi na washiriki wa Wiki ya Kitaifa ya Elimu,...