Monday, August 17, 2026
Home 2026 July

Monthly Archives: July 2026

MZUMBE YAWAALIKA WANAFUNZI KUJIUNGA NA FANI ZENYE SOKO LA AJIRA

0
Chuo Kikuu Mzumbe kimesema kimejipanga kuendelea kuisaidia jamii kwa kutoa elimu bora inayozalisha wahitimu wenye uwezo wa kushindana katika soko la ajira ndani na...

MFUMO WA UAGIZAJI MAFUTA KWA PAMOJA WAIMARISHA UPATIKANAJI, UDHIBITI WA BEI NA MAPATO YA...

0
Wakala wa Uagizaji wa Mafuta kwa Pamoja (Petroleum Bulk Procurement Agency - PBPA) umesema mfumo wa uagizaji wa mafuta kwa pamoja umeendelea kuimarisha upatikanaji...

TTCL YABORESHA INTANETI KUPITIA MKONGO WA TAIFA

0
Mkurugenzi Mkuu wa TTCL, Moremi Marwa, amesema kuwa shirika linatumia Maonesho ya 50 ya Kimataifa ya Biashara ya Dar es Salaam (Sabasaba) kama jukwaa...

PROF. KABUDI AHAMASISHA WANANCHI KUTEMBELEA BANDA LA OFISI YA WAZIRI MKUU SABASABA

0
Waziri wa Nchi, Ofisi ya Waziri Mkuu (Sera, Bunge, Uratibu na Watu Wenye Ulemavu), Mhe. Prof. Palamagamba Kabudi, amewahimiza Watanzania wanaotembelea Maonesho ya 50...

WAZIRI SANGU AKUTANA NA MZEE WA UPAKO NA MTUME MALISA

0
✅ Aeleza umuhimu wa Mahusiano mema katika kuimarisha mshikamano wa Taifa Waziri wa Nchi, Ofisi ya Waziri Mkuu - Kazi, Ajira na Mahusiano, Mhe. Deus...

JKT WANG’ARA SABASABA 2026, WANYAKUA TUZO YA MSHINDI WA KWANZA KATIKA UZALISHAJI, KILIMO NA...

0
  Na Mwandishi Wetu. Dar es Salaam, Julai 3, 2026 – Jeshi la Kujenga Taifa (JKT) limeendelea kuthibitisha ubora wake katika uzalishaji na maendeleo ya uchumi...

DKT. MUNISI: TAASISI ZA DINI NI WADAU MUHIMU KATIKA MAENDELEO YA TAIFA

0
Na: OWM (KAM)– Muleba, Kagera Serikali imesema itaendelea kushirikiana na taasisi za dini katika kuimarisha utoaji wa huduma za kijamii na kujenga jamii yenye maadili,...

CHANGAMKIENI FURSA ZA BIASHARA NCHINI CHINA-LONDO.

0
Serikali imewahimiza wafanyabiashara na wawekezaji nchini kuchangamkia fursa za kiuchumi nchini China ili kukuza biashara zao na kuongeza mauzo ya bidhaa za ndani nje...

BUNIFU ZA WANAFUNZI WA DIT ZAWAVUTIA MAELFU MAONESHO YA SABASABA 2026 .

0
Na Mwandishi Wetu. Taasisi ya Teknolojia Dar es Salaam (DIT) imeendelea kuthibitisha kuwa ni kitovu cha ubunifu na teknolojia nchini kupitia ushiriki wake katika Maonesho...

MAELFU WAVUTIWA NA BIDHAA ZA NGOZI ZA DIT KAMPASI YA MWANZA SABASABA 2026 ,...

0
  Na Mwandishi Wetu. Taasisi ya Teknolojia Dar es Salaam (DIT) kampasi ya Mwanza imeendelea kuthibitisha ubora wake katika ubunifu na maendeleo ya teknolojia baada ya...