“ACHENI KUWAONA WAKAGUZI WA NDANI KAMA MAADUI” – WAZIRI SIMBACHAWENE
Na. Lusungu Helela - MWANZA
Waziri wa Nchi, Ofisi ya Rais, Menejimenti ya Utumishi wa Umma na Utawala Bora, Mhe.George Simbachawene amewataka Watendaji Wakuu pamoja...
UJUMBE KUTOKA ZANZIBAR WAJIFUNZA MBINU MPYA POLISI UTALII ARUSHA
Na. Abel Paul, Jeshi la Polisi Arusha.
Ujumbe kutoka Idara ya Utalii na mambo ya kale Zanzibar katika kuhakikisha wanaendelea kutoa huduma bora kwa wageni...
KESI YA NICOLE YASOGEZWA MBELE HADI APRIL 14
Kesi ya uhujumu uchumi inayomkabili msanii wa uigizaji Joyce Mbaga (32), maarufu Nicole Berry na mwenzake Rehema Mahanyu (31), imetajwa leo Jumatatu Machi 24,...
NBC WAKABIDHI BASI LA WACHEZAJI COASTAL UNION
Na Boniface Gideon, TANGA
Benk ya Taifa ya Biashara 'NBC',ambao pia ni wadhamini wa Ligi kuu na Ligi daraja la kwanza nchini,jana wamekabidhi Basi la...
MIRADI YA KIMKAKATI INAENDELEA KUTEKELEZWA – KAZUNGU
Naibu Katibu Mkuu wa Wizara ya Nishati, Dkt. Khatibu Kazungu, amesema kuwa Wizara ya Nishati itaendelea kutekeleza miradi mbalimbali ya nishati nchini ili kuhakikisha...
KAMPENI YA MTI WANGU BIRTHDAY YANGU YAFIKISHA MITI MIL 4.8.
Rai imetolewa kwa Wakazi wa Dodoma kuendelea kuhamasisha jamii kuhusu zoezi la kupanda miti ili kusaidia utunzaji wa Mazingira na kuendelea kupambana na mabadiliko...
TFRA YAJIVUNIA ONGEZEKO LA MBOLEA 612 KUTOKA MBOLEA 350, 2020/21.
Mkurugenzi Mtendaji Mamlaka ya Udhibiti wa Mbolea Tanzania (TFRA) Bwana Joel Laurent amesema moja ya mfanikio ya tasnia ya mbolea ni ongezeko la aina...
MWALIMU DINNA KANZA AIBUKA KIDEDEA KUWA MWENYEKITI KITENGO CHA WAALIMU WANAWAKE
Na Julieth Mkireri, Mzawa Media Kibaha
MWALIMU wa Shule ya Msingi Mwanalugali Dinna Kanza ameibuka kidedea kuwa Mwenyekiti wa kitengo cha waalimu Wanawake Wilaya ya...
WANANCHI WAONYWA KUACHA KUFANYA SHUGHULI ZA UCHENJUAJI MADINI SEHEMU ZA VYANZO.
Mkuu wa Wilaya ya Morogoro Mussa Kilakala amewataka wananchi kuacha kufanya shughuli zinazohatarisha usalama wa vyanzo vya maji kama uchenjuaji wa madini karibu na...
TAZA KUIMARISHA UPATIKANAJI WA UMEME KUSINI NA MAGHARIBI MWA TANZANIA
Kamati ya Kudumu ya Bunge ya Nishati na Madini imefanya ziara ya kukagua utekelezaji wa Mradi wa Umeme wa Tanzania na Zambia (TAZA) unaohusisha...













