Home 2024
Yearly Archives: 2024
WADAU WA MADINI WAMEPONGEZA MTAZAMO WA SERIKALI KWENYE SEKTA HIYO
Na Neema Kandoro Mwanza
Wadau wa Madini wamepongeza ujio wa Waziri wa Madini Mhe Anthony Peter Mavunde alieongoza kikao kilichofanyika Mkoani Mwanza lengo ikiwa...
MAJALIWA AZINDUA HOSPITALI YA WILAYA YA KASKAZINI B PANGATUPU
Waziri Mkuu Kassim Majaliwa leo Januari 11, 2024 amezindua Hospitali ya Wilaya ya Kaskazini B Pangatupu iliyopo Mkoa wa Kaskazini Unguja yenye uwezo wa...
ZIARA YA DKT. BITEKO MKOANI MTWARA YAPELEKEA MITAMBO ILIYOSIMAMA KUANZA KUZALISHA UMEME
📌Kituo cha Afya Msimbati chaanza kujengwa
📌Wananchi Songosongo nao hawajasahaulika
📌RC Mtwara amshukuru
Mkuu wa Mkoa wa Mtwara, Kanali Ahmed Abbas Ahmed ameeleza kuwa, ziara aliyofanya Naibu...
“TUTATEMBEA NYUMBA KWA NYUMBA KUWASAKA HAO WATOTO ILI WAENDE SHULE.”DC SIMA BUKOBA.
Theophilida Felician Kagera.
Mkuu wa wilaya Bukoba Mhe Erasto Sima atangaza msako mkali wa kuwabaini watoto wote ambao hawajaripoti shule kuanza masomo ya kidato cha...
MBUNGE ANNE KILANGO ACHAGIA MIL. 20 UJENZI WA SHULE YA MSINGI MTUNDU
Na Ashrack Miraji Same kilimanjaro
Mbunge wa Jimbo la Same Mashariki Mhe. Anne Kilango amechangia kiasi shilingi Milioni 20 kwa ajili ya ujenzi wa shule...
ASILIMIA 60 YA WANANCHI WAPATA HUDUMA ZA AFYA NDANI YA KM 5 MWAKA 2023
Na Magrethy Katengu
Serikali kupitia Wizara ya Afya katika Kipindi cha mwaka 2023 imejitahidi kwa kusogeza huduma kwa wananchi kwani asilimia 60 ya wananchi wanapata...
“WASOMA DIRA KUWENI MAKINI” AWESO
Waziri wa Maji Mhe. Jumaa Aweso (Mb) amewataka wasoma Dira za Maji katika mamlaka za maji nchini kuwa makini, waaminifu na kutenda haki katika...
AHADI YA MBUNGE MATHAYO UCHIMBAJI WA MITARO ENEO LA KARIAKOO YAANZA KUTEKELEZWA
Na Shomari Binda-Musoma
AHADI iliyotolewa wiki iliyopita na mbunge wa jimbo la Musoma mjini Vedastus Mathayo ya uchimbaji wa mitaro kwaajili ya kupitisha maji imeanza...
TPA YAVUKA LENGO WALILOJIWEKEA KATIKA KIPINDI CHA MIEZI 6 YAVUNJA REKODI
Na Magrethy Katengu
BANDARI ya Dar es Salaam katika kipindi cha mwezi Julai hadi Desemba 2023 imefanikiwa kufanya huduma zaidi ya malengo yake ambapo imehudumia...
MUWASA YAAGIZA MABOMBA KUKAMILISHA USAMBAZAJI MAJI JIMBO LA MUSOMA MJINI
Na Shomari Binda-Musoma
MAMLAKA ya Maji Safi na Usafi wa Mazingira Musoma (MUWASA) imeagiza mabomba kukamilisha usambazaji maji kwa asilimia 100 jimbo LA Musoma mjini.
Kauli...













