Saturday, October 10, 2026
Home 2026

Yearly Archives: 2026

DKT. MWIGULU AWAFUNGULIA VIJANA FURSA ZA MADINI

0
WAZIRI MKUU Dkt. Mwigulu Nchemba amewataka vijana wa Kitanzania wachangamkie fursa zilizopo katika sekta ya madini ili wanufaike na utajiri wa rasilimali hizo na...

TBS YATAHADHARISHA MATUMIZI NA UUZAJI WA VIPODOZI VYENYE VIAMBATA SUMU

0
Na Mwandishi Wetu. Shirika la Viwango Tanzania (TBS) limeonya wananchi kuhusu matumizi ya vipodozi visivyo salama, likisema bidhaa hizo zinaweza kusababisha madhara makubwa kiafya, ikiwemo...

CBE YAKAMILISHA TAFITI 129, YAANZA NYINGINE

0
Chuo cha Elimu ya Biashara (CBE) kinaendelea kufanya tafiti zinazolenga kubaini na kutoa suluhisho kwa changamoto za biashara, uchumi na maendeleo nchini, huku tafiti...

CBE YAPANUA FURSA ZA ELIMU YA JUU

0
Chuo cha Elimu ya Biashara (CBE) kimepanua fursa za elimu ya juu kwa kutoa programu zinazolenga kuwaandaa wataalamu wenye ujuzi katika biashara, teknolojia na...

KIWANDA KIKUBWA CHA KUCHAKATA MCHANGA MZITO WA BAHARINI(HMS) BARANI AFRIKA KUJENGWA PANGANI,TANGA

0
Kampuni ya Shenghe Resources ya China imeanza ujenzi wa kiwanda kikubwa cha kuchakata madini madini ya mchanga mzito wa baharini (𝙃𝙚𝙖𝙫𝙮 𝙈𝙞𝙣𝙚𝙧𝙖𝙡 𝙎𝙖𝙣𝙙𝙨) katika...

TBS YAFUNGUA MILANGO YA UBORA NA USALAMA WA BIDHAA KWA WAFANYABIASHARA KUPITIA VIWANGO KLINIKI...

0
   Na Mwandishi Wetu. SHIRIKA la Viwango Tanzania (TBS) limeendelea kusogeza huduma na elimu kuhusu viwango, ubora na usalama wa bidhaa karibu na wananchi kupitia...

RASHAL YAHARAKISHA UJENZI WA BOMBA LA GESI KISEMVULE-MBAGALA

0
-Mradi wa kilomita 22 walenga kukamilika Januari 2027, kuunganisha viwanda na kuimarisha mtandao wa CNG Dar es Salaam Na Mwandishi Wetu UJENZI wa bomba la gesi...

TAWCA YAPONGEZWA KWA KUWA NGUZO YA UCHUMI WA KIDIJITALI, UADILIFU

0
Serikali imekipongeza Chama cha Wanawake Wahasibu Tanzania (TAWCA), kwa mchango wake katika tasnia ya uhasibu nchini lakini pia kwa kuimarika na kuwa taasisi muhimu...

DKT. GRACE KABAYO: WANAWAKE WATAMBULIWE KAMA VIONGOZI KATIKA KUJENGA AMANI

0
DAR ES SALAAM KATIBU Mkuu wa Shirika la Wanawake la Kiafrika (PAWO), Dkt. Grace Kabayo, ameitaka jamii kuhakikisha wanawake wanashirikishwa kikamilifu katika maamuzi yanayohusu amani,...

USIMAMIZI IMARA WAPUNGUZA UDANGANYIFU MITIHANI YA TAIFA

0
Serikali imesema udanganyifu katika mitihani ya kitaifa umepungua kwa kiasi kikubwa kutokana na kuimarishwa kwa usimamizi wa mitihani nchini. Kauli hiyo imetolewa Septemba 7, 2026...