Home 2026
Yearly Archives: 2026
VYAMA VYA SIASA KUWA MABALOZI WA BIMA YA AFYA
Vyama vya siasa nchini vimetakiwa kutumia majukwaa yao kuwahamasisha na kuwaelimisha wananchi kuhusu umuhimu wa kujiunga na Bima ya Afya kwa Wote, kwa kuwa...
TCU YATANGAZA AWAMU YA PILI YA UDAHILI WA VYUO KWA MWAKA WA MASOMO 2026/2027
Katibu Mtendaji wa Tume ya Vyuo Vikuu Tanzania (TCU) Prof. Charles Kihampa,akizungumza na waandishi wa habari leo Septemba 8,2026 jijini Dodoma kuhusu kukamilika kwa...
NEMC YAELEZA NAFASI YAKE KATIKA KONGAMANO LA 5 LA KIMATAIFA LA UCHUMI WA BULUU
Baraza la Taifa la Hifadhi na Usimamizi wa Mazingira (NEMC), katika Kongamano la 5 la Kimataifa la Uchumi wa Buluu, limejipambanua katika sekta ya...
VIJANA WATAKIWA KUANDALIWA UONGOZI TANGU WAKIWA WADOGO
NA EMMANUEL MBATILO, DAR ES SALAAM
Shirika la African Leadership Initiatives for Impact (ALII), kwa kushirikiana na HakiElimu na kwa uwezeshaji wa Ubalozi wa Ireland...
SERIKALI YARIDHISHWA NA MAANDALIZI YA NHIF KUELEKEA AFCON
Serikali imeutaka Mfuko wa Taifa wa Bima ya Afya (NHIF) kujipanga kikamilifu katika maandalizi ya mashindano ya Kombe la Mataifa ya Afrika (AFCON) 2027,...
RC MALIMA ATOA MKAKATI WA KUINUA UCHUMI WA LINDI
Mkuu wa Mkoa wa Lindi Adam Malima amewataka viongozi, watendaji wa Serikali na wananchi wa Mkoa wa huo kukaa pamoja, kuweka mikakati na kufanya...
NAIBU WAZIRI AVUTIWA NA USAJILI WANACHAMA KIDIGITALI, AITAKA NHIF KUONGEZA KASI YA BIMA YA...
NAIBU Waziri wa Afya, Mhe Dkt. Florence George Samizi (Mb), amelipongeza Baraza la Wafanyakazi la Mfuko wa Taifa wa Bima ya Afya (NHIF) kwa...
PROF.MKENDA: VYUO VISIDAHILI WANAFUNZI KUPITA UWEZO WAKE
Na Alex Sonna – Dodoma
WAZIRI wa Elimu, Sayansi na Teknolojia, Prof. Adolf Mkenda, ameitaka Tume ya Vyuo Vikuu Tanzania (TCU) kuhakikisha inaweka mfumo bora...
WAZIRI KAPINGA NA VIONGOZI WA WILAYA YA MBINGA, WAKUTANA NA WAZIRI WA MADINI MHE....
Mbunge wa Mbinga Vijijini na Waziri wa Viwanda na Biashara Mhe. Judith Salvio Kapinga, akiambatana na Mkuu wa Wilaya ya Mbinga, Mhe. Kisare Makori,...
WAKULIMA BABATI WANUFAIKA NA PROGRAMU YA KUENDELEZA KILIMO NA UVUVI (AFDP)
Na; Mwandishi wetu – Babati
Wakulima wa vijiji vya Endakiso na Orng'adida vilivyopo katika Halmashauri ya Wilaya ya Babati Mkoani Manyara wameeleza kunufaika na Programu...












