Home 2026
Yearly Archives: 2026
SERIKALI KUENDELEA KUWEKEZA MAENDELEO YA KITAALUMA KWA WALIMU
NA EMMANUEL MBATILO, DAR ES SALAAM
SERIKALI itaendelea kuwekeza katika maendeleo ya kitaaluma ya walimu, wakufunzi na wahadhiri kupitia mafunzo endelevu, tafiti na matumizi ya...
NGUVU KAZI YENYE UJUZI NDIO UFUNGUO WA KUKUZA UCHUMI WA TAIFA
MKUU wa Kampasi ya Dodoma wa Chuo cha Uhasibu Arusha,Prof. Epaphra Manamba,amesema wanaendelea kuandaa wataalamu wenye ujuzi na uwezo wa kutumia teknolojia za kisasa...
e-GA YATUMIA MIFUMO YA KIDIJITALI KUCHOCHEA MAPINDUZI YA KILIMO
Meneja wa Mawasiliano wa Mamlaka ya Serikali Mtandao (e-GA) Bi. Subira Kaswaga,akizungumza na waandishi wa habari leo Agosti 2,2026 kwenye banda la e-GA wakati...
ELIMU YA VIPIMO YAWASAIDIA WAJASIRIAMALI NANE NANE KUBORESHA BIDHAA NA KUPANUA SOKO
Na. WMA- DODOMA
Wakala wa Vipimo (WMA) imetoa elimu kwa wajasiriamali wanaoshiriki Maonesho ya Nane Nane Kitaifa yanayofanyika katika Viwanja vya Dkt. John Malecela Nzuguni ...
MZUMBE YATOA USHAURI WA UCHAGUZI WA KOZI KATIKA KAMBI YA UDAHILI MLIMANI CITY
NA EMMANUEL MBATILO, DAR ES SALAAM
CHUO Kikuu Mzumbe kimewahimiza wanafunzi na wazazi kutumia fursa ya kambi maalumu ya udahili inayoendelea katika viwanja vya Mlimani...
TRILIONI MOJA ZA AZANIA KUZAA MAELFU YA AJIRA
Serikali imeipongeza Azania Group kwa kutimiza miaka 25 ya mafanikio katika sekta ya viwanda na biashara, huku ikieleza kuwa kampuni hiyo imeendelea kuwa mfano...
SERIKALI YATAKA UZALISHAJI UANZIE SOKONI
Serikali yaweka mkakati wa kuondoa tatizo la wakulima kuvuna mazao bila kuwa na uhakika wa soko, ikisisitiza kuwa kuanzia sasa uzalishaji wa mazao, mifugo...
TFC YAHAMASISHA MATUMIZI YA MBOLEA KWA TIJA YA KILIMO
Mkurugenzi wa Uendeshaji Biashara wa Kampuni ya Mbolea Tanzania, Lameck Borega,akizungumza na waandishi wa habari kwenye Maonesho ya 49 ya Kilimo ya Nane Nane...
WMA WATOA ELIMU YA VIPIMO SAHIHI KWENYE MAONESHO YA NANE NANE
Na WMA - DODOMA.
Wakala wa Vipimo (WMA) umeanza kutoa elimu ya vipimo kwa wakulima, wafugaji na wavuvi katika siku ya kwanza, (Agosti 1, 2026)...
TFC YAAGIZA TANI 200,000 ZA MBOLEA KUINUA KILIMO NCHINI
Na Alex Sonna– Dodoma
Kampuni ya Mbolea Tanzania (TFC) imeanza utekelezaji wa mpango mkubwa wa kuongeza upatikanaji wa mbolea nchini kwa kuagiza tani 200,000 za...













