Saturday, October 10, 2026
Home 2026

Yearly Archives: 2026

SERIKALI YAITAKA SEKTA BINAFSI KUTUMIA FURSA YA MTAJI KUCHOCHEA UCHUMI

0
Serikali imewataka wafanyabiashara, wawekezaji na taasisi za fedha nchini kutumia fursa zilizopo katika uchumi wa Tanzania kuwekeza mitaji katika sekta za uzalishaji, miundombinu, teknolojia...

LATRA, OFISI YA MWANASHERIA MKUU WA SERIKALI WAIMARISHA USHIRIKIANO WA KISHERIA KATIKA SEKTA YA...

0
Mamlaka ya Udhibiti Usafiri Ardhini (LATRA) na Ofisi ya Mwanasheria Mkuu wa Serikali wamekutana na kufanya Mafunzo ya siku mbili yanayolenga kubadilishana uzoefu na...

MOI YAANZA KUTUMIA MBINU MPYA KUTIBU KIHARUSI

0
Mkurugenzi wa Upasuaji wa Ubongo MOI Dkt. Lemeri Mchome amesema leo Septemba 17, 2026 kuwa technolojia hiyo ni ya kwanza kutumika nchini na kwamba...

NEMC YATAKA UBUNIFU WA MAZINGIRA KUGEUZWA KUWA FURSA

0
BARAZA la Taifa la Hifadhi na Usimamizi wa Mazingira (NEMC) limetoa wito wa kujenga mifumo itakayowezesha ubunifu na fursa za mazingira kugeuzwa kuwa miradi...

WANANCHI MKOANI SIMIYU WAPATIWA ELIMU YA UMEME NA NISHATI SAFI YA KUPIKIA

0
Wakala wa Nishati Vijijini (REA) umeongeza kasi katika utoaji wa elimu kwa wananchi kuhusu matumizi salama ya umeme na umuhimu wa matumizi ya nishati...

JUKWAA LA MIFUMO YA CHAKULA LAZINDULIWA DAR

0
NA EMMANUEL MBATILO, DAR ES SALAAM JIJI la Dar es Salaam limezindua Jukwaa la Mifumo ya Chakula litakalokuwa chombo cha kuunganisha wadau mbalimbali katika kuboresha...

SOMALIA YAIPONGEZA FCC KWA UTENDAJI BORA

0
Na.Mwandishi Wetu Tume ya Ushindani ya Somali  imefanya ziara ya siku moja nchini Tanzania kwa lengo la kujifunza uzoefu na mbinu zinazotumiwa na Tume ya...

DKT. MWIGULU: NDANI YA WIKI MOJA TUTACHUKUA HATUA KUSHUSHA BEI YA SARUJI

0
WAZIRI MKUU Dkt. Mwigulu Nchemba amesema ndani ya wiki moja, Serikali itachukua hatua ya kuhakikisha bei ya saruji inakuwa himilivu kwa wananchi, baada ya...

WAZIRI MASAUNI AITAMBUA NEMC KAMA MLEZI WA GREEN SUMMIT

0
Waziri wa Nchi, Ofisi ya Makamu wa Rais (Muungano na Mazingira), Mhe. Hamad Yusuf Masauni, amelitambua na kulipongeza Baraza la Taifa la Hifadhi na...

DKT. MWIGULU AIPONGEZA TANESCO KUTUMIA WATAALAMU WA NDANI

0
▪︎ Asisitiza GRID IMARA Simiyu ikamilike kwa wakati WAZIRI MKUU Dkt. Mwigulu Nchemba amewapongeza viongozi wa Shirika la Umeme Tanzania (TANESCO) kwa kuhakikisha Kituo cha...