Monday, October 12, 2026
Home 2026

Yearly Archives: 2026

UANAGENZI UTAWATOA VIJANA KIMAISHA: WAZIRI SANGU

0
Waziri wa Nchi, Ofisi ya Waziri Mkuu - Kazi, Ajira na Mahusiano Mhe. Deus Sangu akifuatilia maelezo ya Kijana Mnufaika wa Mafunzo ya Uanagenzi...

MASAUNI: UHIFADHI WA UDONGO NI MSINGI WA MAENDELEO ENDELEVU

0
Serikali ya Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, chini ya uongozi wa Mhe. Dkt. Samia Suluhu Hassan, Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, inaendelea...

BODI YA NISHATI VIJIJINI YARIDHISHWA NA MATUMIZI YA NISHATI SAFI YA KUPIKIA GEREZA LA...

0
Bodi ya Nishati Vijijini (REB) imeridhishwa na hatua, ubunifu na kasi ya mageuzi yanayotekelezwa na Gereza la Manyoni, mkoani Singida, katika kuachana na nishati...

REA YAONDOA GIZA KITONGOJI CHA SIMANJIRO, FURAHA YATAWALA

0
-Wananchi wapongeza, waeleza matumaini ya ajira na maendeleo SINGIDA-Wananchi wa Kitongoji cha Simanjiro, Kijiji cha Maweni wilayani Manyoni, wameushukuru Wakala wa Nishati Vijijini (REA) kwa...

UFADHILI WA REA WAONGEZA TIJA KWA WAZALISHAJI WA CHUMVI IRAMBA

0
Wakala wa Nishati Vijijini (REA) umeendelea kuwezesha matumizi ya nishati safi ya kupikia kwa kufadhili mradi wa uzalishaji wa chumvi ya asili maarufu kama...

KAMPUNI ZA WAZAWA ZATAKIWA KUTEKELEZA MIRADI KWA UFANISI ILI KUSHINDANA KIMATAIFA

0
Mwenyekiti wa Bodi ya Nishati Vijijini (REB), Balozi Meja Jenerali Mstaafu Jacob Kingu, amezitaka kampuni za wazawa zinazotekeleza miradi ya kusambaza umeme vitongojini kufanya...

KAFULILA KUONGOZA MDAHALO WA UBIA WA UMMA NA BINAFSI SUA

0
Chuo Kikuu cha Sokoine cha Kilimo (SUA), kwa kushirikiana na Kituo cha Ubia kati ya Sekta ya Umma na Binafsi (PPP-Centre), imeandaa Mhadhara wa...

NEEC YAHITIMISHA MAFUNZO YA FURSA ZA MITAJI MKOA WA RUKWA

0
Baraza la Taifa la Uwezeshaji Kiuchumi (NEEC), kwa kushirikiana na Mbunge wa Viti Maalumu Mkoa wa Rukwa, Mhe. Jacquline Mzindakaya, limehitimisha mafunzo ya utoaji...

UMEME KUBADILISHA MAISHA YA WANANCHI VITONGOJINI

0
Serikali imedhamiria kubadilisha maisha ya wananchi vitongojini kupitia usambazaji wa umeme unaotekelezwa na Wakala wa Nishati Vijijini (REA) na wananchi wamehimizwa kuchangamkia kuunganishiwa umeme...

SHERIA BORA NI MSINGI WA UTEKELEZAJI WA DIRA 2050 – MWANASHERIA MKUU WA SERIKALI

0
Mwanasheria Mkuu wa Serikali Mhe. Hamza S. Johari amefungua mafunzo ya tatu ya Bespoke kwa Mawakili wa Serikali, yalioandaliwa na kuratibiwa na Ofisi ya...