Home 2026
Yearly Archives: 2026
SHERIA BORA NI MSINGI WA UTEKELEZAJI WA DIRA 2050 – MWANASHERIA MKUU WA SERIKALI
Mwanasheria Mkuu wa Serikali Mhe. Hamza S. Johari amefungua mafunzo ya tatu ya Bespoke kwa Mawakili wa Serikali, yalioandaliwa na kuratibiwa na Ofisi ya...
USHIRIKIANO WA ORYX GAS NA SKAUTI KUIMARISHA MATUMIZI SALAMA YA LPG
Na Mwandishi Wetu
KAMPUNI ya Oryx Tanzania imezindua kitabu cha Mwongozo wa Matumizi Salama ya Gesi ya LPG na kusaini mkataba wa ushirikiano wa miaka...
MASWI: NGOS NI NGUZO MUHIMU YA UTEKELEZAJI WA DIRA 2050
Julai 14, 2026 - Dodoma
Katibu Mkuu Wizara ya Maendeleo ya Jamii, Jinsia, Wanawake na Makundi Maalum Eliakim Maswi leo amekutana na wajumbe wa Baraza...
TBA YANG’ARA SABASABA, YASHINDA TUZO YA BANDA BORA KATIKA SEKTA YA MILIKI NA REAL...
Na Magrethy Katengu--Dar es salaam
Wakala wa Majengo Tanzania (TBA) umeibuka mshindi wa nafasi ya pili na kutunukiwa tuzo ya Banda Bora katika Sekta ya...
KAPINGA AMKABIDHI MLEMAVU MASHINE YA KUSAGIA VIUNGO
Waziri wa Viwanda na Biashara, Mhe. Judith Kapinga (Mb), amemkabidhi mfanyabiashara mwenye ulemavu, Bi.Esther Mashaka Msengi, mashine ya kusagia viungo ili kuongeza uzalishaji, kupunguza...
DG RUWASA AWAELEKEZA MAMENEJA WA MIKOA NA WILAYA KUZISHIRIKISHA CBWSOs KATIKA PROGRAMU ZOTE
Mkurugenzi Mkuu wa Wakala wa Maji na Usafi wa Mazingira Vijijini (RUWASA), Mha. Wolta Kirita, amesisitiza umuhimu wa kushirikisha Vyombo vya Utoaji wa Huduma...
UHAMIAJI: WAENDESHA VYOMBO VINAVYOVUKA MIPAKA WATAKIWA KUWAFIKISHA RAIA WA KIKEGENI WASIOJULIKANA KATIKA VITUO HUSIKA
Na Magrethy Katengu--Dar es salaam
Kamishna wa Uhamiaji wa Kitengo cha Usimamizi na Udhibiti wa Mipaka, CI Fakin Nyakunga, amewataka waendesha vyombo vya moto vinavyovuka...
SERIKALI YAENDELEA KUSOGEZA ELIMU YA FURSA ZA MITAJI KWA WANANCHI RUKWA
Mafunzo ya utoaji wa elimu kuhusu fursa za mitaji kupitia mifuko na programu mbalimbali za uwezeshaji wananchi kiuchumi yanaendelea kufanyika katika Manispaa ya Sumbawanga,...
PROF.NOMBO ATOA MAAGIZO MATANO KUIFANYA ELIMU IENDANE NA MAHITAJI YA TAIFA
KATIBU Mkuu wa Wizara ya Elimu, Sayansi na Teknolojia, Prof. Carolyne Nombo,akizungumza wakati akifungua kikao cha mwaka cha Menejimenti ya Wizara ya Elimu, Sayansi...













