Tuesday, March 3, 2026
Home 2025 March

Monthly Archives: March 2025

TBS YATOA VYETI NA LESENI ZA UBORA 2,402, WAJASIRIAMALI WADOGO WAKIWA 1,066.

0
Mkurugenzi Mkuu Shirika la Viwango Tanzania (TBS) Dkt Ashura Katunzi ameeleza kuwa jumla ya vyeti na leseni za ubora 2,402 vimetolewa kwa wazalishaji, miongoni...

MAENEO YA KIJAMII YAMEPEWA KIPAUMBELE KUFIKIWA NA UMEME – KAPINGA

0
Naibu Waziri Nishati, Mhe. Judith Kapinga amesema utekelezaji wa miradi ya umeme vijijini umetoa kipaumbele kwenye maeneo yanayotoa huduma za kijamii ikiwemo Shule, Taasisi,...

WANANCHI NJOMBE WAIOMBA TANESCO, REA KUONGEZA KASI YA USAMBAZAJI UMEME

0
Wananchi wa Mkoa wa Njombe ambao bado hawajafikiwa na huduma ya umeme wameiomba Serikali kupitia Shirika la Umeme Tanzania (TANESCO) na Wakala wa Nishati...

UBORESHAJI WA DAFTARI LA WAPIGA KURA DAR ES SALAAM WAANZA KWA MAFANIKIO

0
Wananchi wa Mkoa wa Dar es Salaa wameanza Uboreshaji wa Daftari la Kudumu la Wapiga Kura ambapo wananchi wengi walionekana kwa wingi vituoni kujiandikisha...

WAKAZI WA TARIME WAHAMASISHWA KURIPOTI WATOA HUDUMA ZA FEDHA WASIOFUATA SHERIA

0
Kiongozi wa Timu ya Wataalamu wa Elimu ya Fedha kutoka Wizara ya Fedha, Bw. Salim Khalfan Kimaro, amewataka wakazi wa Wilaya ya Tarime, Mara,...

SERIKALI YAPANIA UMEME VIJIJINI: KAPINGA AELEZA HATUA ZILIZOFIKIWA

0
Naibu Waziri Nishati, Mhe. Judith Kapinga amesema ni maono ya Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, Mhe. Dkt. Samia Suluhu Hassan kuona wananchi...

KAMATI YA BUNGE YATAKA UWAZI WA GHARAMA ZA UMEME KILA KIJIJI

0
Kamati ya Kudumu ya Bunge ya Nishati na Madini imeuagiza Wakala wa Nishati Vijijini (REA) pamoja na Shirika la Umeme Tanzania (TANESCO) kubandika gharama...

MAAFISA USAFIRISHAJI WAHAMASISHA VIJANA KUBORESHA DAFTARI LA MPIGA KURA

0
Na Mariam Muhando. MAAFISA Usafirishaji wa Bajaji na Bodaboda Kata ya Upanga Jijini Dar es salaam wameandaa Bonanza la Mchezo wa Mpira wa miguu, ili...

BILIONI 60 KULIPA FIDIA WANANCHI WALIOPITIWA MRADI WA RUHUDJI NA RUMAKALl

0
Kamati ya Kudumu ya Bunge ya Nishati na Madini imeishauri Serikali kutafuta fedha za kuwalipa fidia wananchi waliopitiwa na Miradi ya kufua Umeme ya...

DOYO ATANGAZA KUWANIA U-RAIS,AJA NA AGENDA 10

0
Na Boniface Gideon, MOROGORO Mwanasiasa nguli Nchini ambaye pia kada wa Chama cha National League for Democracy (NLD), Doyo Hassan Doyo, ametangaza rasmi azma yake...
💬
Support ✕