Wilaya ya Serengeti ilivyojipanga na mikakati ya kilimo nchini kuunga mkono serikali
Na Shomari Binda
MWAKA 1975 akiwa mkoani Tabora, Baba wa Taifa Mwalimu Julius Kambarage Nyerere akizungumza na viongozi wa mkoa huo alisisitiza suala la umuhimu...
SERIKALI KUYAFANYIA KAZI MAPENDEKEZO YA KUBORESHA TAASISI ZA HAKI JINAI NCHINI
Rais wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Mhe. Dkt. Hussein Ali Mwinyi amesema Serikali zote mbili zitafanyia kazi mapendekezo yaliyowasilishwa Serikalini kuhusu...
MWITIKIO WA KAULI YA WAZIRI AWESO, MIPAKA YAIMARISHA HIFADHI YA MAKUTOPORA
Maelekezo ya Waziri wa Maji Mhe. Jumaa Aweso (Mb) kuhusu kuhifadhi na kuendeleza vyanzo vya maji hapa nchini kwa kuwashirikisha viongozi na wananchi yameshika...
TANZANIA YAINADI MINADA YA MADINI KWA WAFANYABIASHARA WAKUBWA THAILAND
Waiomba Serikali iharakishe kurejeshwa kwake, Waonesha nia kushirikiana na Sekta Binafsi
Naibu Katibu Mkuu Mbibo awakaribisha kushiriki Jukwaa la Madini Litakalofanyika Oktoba,2023
TGC Yawataka Vijana Nchini...
WAANDISHI WAPATA MAFUNZO YA KUWAJENGEA UJASIRI WANAPOKUMBANA NA CHANGAMOTO KATIKA MAJUKUMU YAO
Na Magrethy Katengu
Waandishi wa habari licha ya kuwa watu muhimu katika jamii lakini wamekuwa katika mazingira ambayo siyo mazuri wanapokuwa.wakitekeleza majukumu yao ya kuhabarisha...
WATOTO ZAIDI YA MILIONI 3 KUPATA CHANJO YA POLIO KWENYE MIKOA 6 NCHINI
Na WAF, Dodoma.
Wizara ya Afya kwa kushirikiana Ofisi ya Rais TAMISEMI na Wadau wa Sekta ya Afya inatarajia kuendesha Kampeni ya kutoa chanjo dhidi...
MBAGALA YAZIZIMA TIGO WAKITOA MILIONI 5 KWA MSHINDI WA CHA WOTE
Na Mwandishi Wetu.
Bi Halima Rajabu Seleman Mfanya biashara ndogondogo mkazi wa Kilungule - Mbagala Jijini Dar Es Salaam ni miongoni mwa washindi wa Milioni...
TENGENEZENI MIFUMO YA KUGUNDUA RISITI FEKI – MAJALIWA
WAZIRI MKUU Kassim Majaliwa amewaagiza wataalamu wa mifumo na TEHAMA, wabuni programu tumizi ya kuweza kutambua risiti halali na zisizo halali ili kujihakikishia kuwa...
MAJALIWA AIPONGEZA TAIFA STARS
WAZIRI MKUU Kassim Majaliwa ameipongeza timu ya Taifa ya mpira wa miguu (Taifa Stars) kwa kufuzu kuingia michuano ya Kombe la Mataifa ya Afrika...
CP Dkt. Mussa aagwa Rasmi baada ya kumaliza Utumishi wake Jeshini
Na Abel Paul wa Jeshi la Polisi- Dar es salaam
Jeshi la Polisi Nchini limemuaga rasmi aliyekuwa kamishna wa Kamisheni ya ushirikishwaji Jamii ambae kwa...
















