Home 2026
Yearly Archives: 2026
NAIBU WAZIRI KWAGILWA AZINDUA MAONESHO YA MAZINGIRA
Naibu Waziri Ofisi ya Makamu wa Rais (Muungano na Mazingira) Mhe. Reuben Kwagilwa akizindua maonesho ya mazingira katika Viwanja vya Jakaya Kikwete jijini Dodoma...
TANZANIA KUWA NA MKAKATI MAALUM WA MAWASILIANO WAKATI WA MLIPUKO WA MAGONJWA YA MIFUGO
Mkurugenzi wa Huduma za Mifugo wa Wizara ya Mifugo na Uvuvi, Dkt. Benezeth Lutege, akizungumza wakati wa ufunguzi wa Warsha ya Uandaaji wa Rasimu...
WIPO YAUNGANA NA BRELA, COSTECH KUCHOCHEA MAPINDUZI YA KILIMO
NA EMMANUEL MBATILO, DAR ES SALAAM
SHIRIKA la Dunia la Haki Miliki (WIPO) kwa kushirikiana na Wakala wa Usajili wa Biashara na Leseni (BRELA), Tume...
RC BATILDA AUNDA TUME KUCHUNGUZA BOMOA BOA MSAKANGOTO
Na Boniface Gideon, TANGA
Mkuu wa Mkoa wa Tanga,Dkt. Batilda Burian,ameunda tume maalum yenye wajumbe 6 kwaajili ya kuchunguza sakata la bomoa boa wa makazi...
TI3P YATAJWA KUCHOCHEA MAPINDUZI YA SEKTA NDOGO YA MAZIWA
Na Mwandishi Wetu, Iringa
WAZIRI wa Mifugo na Uvuvi, Mhe. Balozi Dkt. Bashiru Kakurwa, ameipongeza Benki ya Maendeleo ya Kilimo Tanzania (TADB) kwa utekelezaji wa...
Wapiga Kura 222,218 Kupiga Kura Jimbo la Ismani na Kata 12 za Tanzania Bara
Wapiga Kura 222,218 walioandikishwa katika Daftari la Kudumu la Wapiga Kura watashiriki kwenye uchaguzi mdogo wa Ubunge katika Jimbo la Isimani lililopo Halamashauri ya...
WAKILI MARATHON KUONGEZA NGUVU UPATIKANAJI WA MSAADA WA KISHERIA NCHINI
Na.Alex Sonna- DODOMA
NAIBU Waziri wa Katiba na Sheria, Zainab Katimba , amesema Wakili Marathon iliyoandaliwa na Chama cha Mawakili wa Serikali Tanzania (TPBA) itakuwa...
WADAU WA MAZIWA WAIPONGEZA TBS KWA KUWAPA ELIMU IRINGA , MAADHIMISHO YA 29 YA...
Na Mwandishi Wetu.
Shirika la Viwango Tanzania (TBS) limeendelea kuonesha dhamira yake ya kuhakikisha bidhaa zinazozalishwa na kusindikwa nchini zinakidhi viwango vinavyotakiwa kwa kushiriki kikamilifu...
JK AONGOZA WAOMBOLEZAJI KUMUAGA JACKSON ISDORY UDSM
NA EMMANUEL MBATILO, DAR ES SALAAM
Viongozi wa Serikali, wanataaluma na jamii ya Chuo Kikuu cha Dar es Salaam wameungana kumuaga Jackson Isdory Mushi, aliyefariki...
TADB YAWAWEZESHA WAFUGAJI WADOGO ZAIDI YA 92, 000 KUPITIA MRADI WA MAZIWA WA TI3P
Jumla ya wafugaji wadogo 92,831 na wadau wa mnyororo wa thamani wa maziwawa Tanzania Bara na Visiwani-Zanzibar wamenufaika na Mradi Shirikishi waWasindikaji na Wazalishaji...













