Home 2026
Yearly Archives: 2026
VIWANGO BUSINESS FORUM KUFANYIKA JUNE, 05 , TBS WATOA UTARATIBU HUU .
Na Mwandishi Wetu.
Shirika la Viwango Tanzania limeandaa Jukwaa la Biashara la Viwango (Viwango Business Forum) litakalofanyika Juni 5, 2026 katika ukumbi wa Mlimani City,...
VIJANA WATAKIWA KUWA MABALOZI WA UHIFADHI WA MAZINGIRA NCHINI
WAZIRI wa Nchi, Ofisi ya Makamu wa Rais (Muungano na Mazingira), Mhe. Mhandisi Hamad Yussuf Masauni amesema vijana wanapaswa kutumia fursa zinazotolewa na Serikali...
JUKWAA LA BIASHARA LA VIWANGO KUFANYIKA JUNI 5 MLIMANI CITY
Shirika la Viwango Tanzania limeandaa Jukwaa la Biashara la Viwango (Viwango Business Forum) litakalofanyika Juni 5, 2026 katika ukumbi wa Mlimani City, jijini Dar...
TANZANIA YASHIRIKI KIKAO CHA KAMATI YA UTEKELEZAJI WA VIWANGO VYA KAZI, GENEVA
Jaji wa Mahakama ya Rufani, Mhe. Dkt. Yose Joseph Mlyambina akifuatilia agenda mbalimbali zilizokuwa zinawasilishwa katika kikao cha Kamati ya Utekelezaji wa Viwango vya...
WIZARA YA ELIMU YAENDELEA KUKUZA UBORA WA ELIMU KUPITIA MASHINDANO YA WALIMU
Na.Alex Sonna-DODOMA
Wizara ya Elimu, Sayansi na Teknolojia imetangaza kuwa jumla ya walimu 3,153 wamejisajili kushiriki Shindano la Taifa la Nne la Stadi za Ufundishaji...
MAHAKAMA KUU YAWAFUNGA MAISHA WATUHUMIWA WA HEROIN
Mahakama Kuu ya Tanzania, Divisheni ya Makosa ya Rushwa na Uhujumu Uchumi, imewahukumu kifungo cha maisha jela Suleiman Thabit Ngulangwa na Farid Hamis Said...
TANZANIA YASHIRIKI KIKAO CHA KAMATI YA UTEKELEZAJI WA VIWANGO VYA KAZI, GENEVA
Na: OWM (KAM)
Tanzania imeshiriki kikao cha Kamati ya Utekelezaji wa Viwango vya Kazi kinachoendelea jijini Geneva, Uswisi, ikiwa ni sehemu ya Mkutano Mkuu wa...
SERIKALI KUSHIRIKIANA NA TAASISI ZA DINI KUIMARISHA MAADILI JAMII
Waziri wa Nchi Ofisi ya Waziri Mkuu – Kazi, Ajira na Mahusiano Mhe. Deus Sangu amesema Serikali itaendelea kushirikiana na Taasisi za Dini nchini...
DKT.JAFO AWAPAMBANIA MAAFISA MAENDELEO YA JAMII NCHINI
MBUNGE wa Kisarawe, Dkt. Selemani Jafo,akichangia hotuba ya Wizara ya Maendeleo ya Jamii, Jinsia, Wanawake na Makundi Maalum leo Juni 1,2026 bungeni jijini Dodoma.
......
MBUNGE...
RAIS MSTAAFU JAKAYA KIKWETE AWASILI UFARANSA KUONGOZA VIKAO VYA BODI YA GPE
Rais Mstaafu wa Awamu ya Nne wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, Mhe. Jakaya Mrisho Kikwete, amewasili leo nchini Ufaransa kwa ziara ya kikazi...













