Home 2026
Yearly Archives: 2026
WAZIRI SANGU: SERIKALI KUENDELEA KUKUZA USTAWI WA SEKTA YA KAZI NA USHIRIKIANO KIMATAIFA
Waziri wa Nchi, Ofisi ya Waziri Mkuu – Kazi, Ajira na Mahusiano, Mhe. Deus Sangu akisalimiana na Balozi na Mwakilishi wa Kudumu wa Umoja...
“NEMC MNAFANYA KAZI NZURI” -NW-TAMISEMI, DKT. SEIF “
Ni kauli yake Naibu Waziri Ofisi ya Waziri Mkuu, Tawala za Mikoa na Serikali za Mitaa(TAMISEMI), anayeshugulikia Afya, Dkt. Rajabu Seif, alipotembelea banda la...
WAZIRI BASHIRU: USHIRIKIANO WA TANZANIA NA ITALIA UNAENDELEA KULETA MATOKEO CHANYA
WAZIRI wa Mifugo na Uvuvi, Bashiru Ally, amesema Tanzania na Italia zinaendelea kuimarisha ushirikiano katika sekta mbalimbali za maendeleo, ikiwemo uchumi wa buluu, utalii,...
TBS YASISITIZA UZINGATIAJI WA KANUNI BORA ZA UANDAAJI WA CHAKULA , KUELEKEA MAADHIMISHO YA...
Na Mwandishi Wetu.
SHIRIKA la Viwango Tanzania (TBS) kutumia Jukwaa la Biashara la Viwango (Viwango Business Forum) litakalofanyika Juni 5, 2026 katika ukumbi wa Mlimani...
FCC YATOA ELIMU YA ULINZI WA MLAJI KATIKA MBEYA CITY EXPO 2026
Naibu Waziri wa Viwanda na Biashara, Mhe. Denis Londo, ametembelea banda la Tume ya Ushindani Tanzania (FCC) katika Maonesho ya Kimataifa ya Mbeya City...
NAIBU WAZIRI MKAMA AKAGUA UBUNIFU MAONESHO YA SIKU YA MAZINGIRA
Naibu Waziri wa Habari, Mawasiliano na Teknolojia ya Habari Mhe. Dkt. Switbert Mkama akipata maelezo mbalimbali wakati akitembelea banda la Ofisi ya Makamu wa...
BEI YA PETROLI YASHUKA, SERIKALI YAWEKA RUZUKU KWENYE DIZELI
Watumiaji wa petroli wamepata afueni mwezi Juni 2026 baada ya bei ya mafuta hayo kushuka ikilinganishwa na mwezi uliopita. Kwa Dar es Salaam, petroli...
VIWANGO BUSINESS FORUM KUFANYIKA JUNE, 05 , TBS WATOA UTARATIBU HUU .
Na Mwandishi Wetu.
Shirika la Viwango Tanzania limeandaa Jukwaa la Biashara la Viwango (Viwango Business Forum) litakalofanyika Juni 5, 2026 katika ukumbi wa Mlimani City,...
VIJANA WATAKIWA KUWA MABALOZI WA UHIFADHI WA MAZINGIRA NCHINI
WAZIRI wa Nchi, Ofisi ya Makamu wa Rais (Muungano na Mazingira), Mhe. Mhandisi Hamad Yussuf Masauni amesema vijana wanapaswa kutumia fursa zinazotolewa na Serikali...
JUKWAA LA BIASHARA LA VIWANGO KUFANYIKA JUNI 5 MLIMANI CITY
Shirika la Viwango Tanzania limeandaa Jukwaa la Biashara la Viwango (Viwango Business Forum) litakalofanyika Juni 5, 2026 katika ukumbi wa Mlimani City, jijini Dar...













