WAJASIRIAMALI WAFURAHISHWA NA USHIRIKI WA TBS KATIKA MAONESHO YA MUFINDI INVESTMENT FORUM & EXPO...
Na Mwandishi Wetu.
SHIRIKA la Viwango Tanzania (TBS), Kanda ya Kati, limeshiriki Maonesho ya Uwekezaji na Biashara yanayojulikana kama Mufindi Investment Forum & Expo 2026,...
TBS MWENYEJI WA KIKAO CHA KIMATAIFA CHA VIWANGO VYA NAFAKA , OKTOBA 20 –...
Na Mwandishi Wetu.
Shirika la Viwango Tanzania (TBS) linatarajia kuwa mwenyeji wa kikao cha Kamati ya Wataalamu wa Kimataifa ya uandaaji wa viwango vya nafaka...
MAKAMU WA RAIS ASHUHUDIA FAINALI YA KIKAPU, DAR CITY IKITWAA UBINGWA
Makamu wa Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, Mhe. Deogratius Ndejembi, usiku wa Oktoba 18, 2026, ameshuhudia Timu ya Mpira wa Kikapu ya...
NDEJEMBI AWEKA JIWE LA MSINGI UJENZI WA MAJENGO YA CHUO KISHIRIKI CHA ELIMU MKWAWA...
Makamu wa Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, Mheshimiwa Deogratius Ndejembi, ameweka jiwe la msingi katika ujenzi wa majengo mapya ya Chuo Kishiriki...
TANZANIA YAPATA DOLA BILIONI 8.8 ZA MIRADI YA BENKI YA DUNIA2. BENKI YA DUNIA...
Waziri wa Fedha, Mhe. Balozi Khamis Mussa Omar (Mb), ameishukuru Benki ya Dunia kwa mchango wake katika kuimarisha ushirikiano wa maendeleo na Tanzania, hususan...
KUTOKA ROMBO HADI WYDAD CASABLANCA, MKENDA CUP YAIBUA VIPAJI
Mbunge wa Rombo na Waziri wa Elimu, Sayansi na Teknolojia, Prof. Adolf Mkenda, amesema mashindano ya Mkenda Cup yameendelea kuwa chachu ya kuibua na...
TAHADHARI ZA HALI YA HEWA ZAUA SHEREHE ZA ROMBO MARATHON NA NDAFU FESTIVAL
Mbunge wa Rombo na Waziri wa Elimu, Sayansi na Teknolojia, Prof. Adolf Mkenda, ametangaza kuahirishwa kwa Rombo Marathon na Ndafu Festival zilizokuwa zifanyike Disemba...
MASHINDANO YA MOOT COURT 2026 KUFUNGUA FURSA KWA WANASHERIA VIJANA
Kaimu Mkurugenzi wa Idara ya Elimu kwa Mlipa Kodi na Mawasiliano wa TRA Paul Walalaze, ameeleza kuwa mamlaka hiyo imekuwa ikishirikiana VIctor's Hub Limited...
TANZANIA NA CHINA KUIMARISHA UJUZI KWA VIJANA
Na WyEST,Tianjin, China
Serikali ya Tanzania na Serikali ya Jamhuri ya Watu wa China zimesaini hati ya makubaliano ya kuimarisha Elimu na Mafunzo ya Ufundi...
WAZIRI MKENDA AZINDUA MKAKATI WA ELIMU JUMUISHI WA 2026/27–2030/31
Na Alex Sonna, DODOMA
WIZARA ya Elimu, Sayansi na Teknolojia imezindua Mkakati wa Kitaifa wa Elimu Jumuishi wa mwaka 2026/2027 hadi 2030/2031 pamoja na miongozo...















