USHIRIKIANO WA ELIMU YA UFUNDI WAJADILIWA TIANJIN
Na.Mwandishi Wetu,
Wizara ya Elimu Sayansi na Wizara ya Elimu ya China zimekubaliana kuendeleza ushirikiano wa kimkakati katika elimu ya ufundi na mafunzo ya ufundi...
TANZANIA YAWEKA MKAZO AJIRA KWA VIJANA, UWEKEZAJI WA NDANI KATIKA MKUTANO WA BENKI YA...
Waziri wa Fedha, Mhe. Balozi Khamis Mussa Omar (Mb) amesema Tanzania inaunga mkono mkakati maalum wa Benki ya Dunia wa kuzisaidia nchi wanachama kuweka...
WHI YAKAMILISHA NYUMBA 54 ZA WATUMISHI WA UMMA
Na Alex Sonna, DODOMA
KAMATI ya Kudumu ya Bunge ya Utawala, Katiba na Sheria imeridhishwa na utekelezaji wa miradi ya nyumba zinazojengwa na Watumishi Housing...
TRIPBEY YAJA NA MFUMO WA KUSAFIRI BILA KULIPA NAULI KABLA YA SAFARI
Na Magrethy Katengu — Dar es Salaam
KAMPUNI ya TripBey imekuja na mfumo wa huduma za usafiri unaowawezesha wananchi kusafiri kwa ndege, mabasi na treni...
WANANCHI TABORA WAHIMIZWA KUJIUNGA NA UMEME, KUKUMBATIA NISHATI SAFI YA KUPIKIA
Wananchi mkoani Tabora wamehimizwa kujiunga na huduma ya umeme na kukumbatia matumizi ya nishati safi ya kupikia, ikiwemo majiko ya umeme, ili kulinda afya...
NAIBU WAZIRI ATOA MAELEKEZO SEKTA YA VITABU, AITAKA COSOTA KUPAMBANA NA MAHARAMIA
Na Magrethy Katengu— Dar es Salaam
Naibu Waziri wa Habari, Utamaduni, Sanaa na Michezo, Hamis Mwinjuma maarufu Mwana FA, ametoa maelekezo kwa viongozi na wadau...
BANGU: KIWANGO STAHIKI CHA UNYEVU KWENYE KOROSHO KIZINGATIWE
Mkurugenzi Mtendaji wa Bodi ya Usimamizi wa Stakabadhi za Ghala (WRRB), Bw. Asangye Bangu, amewataka wakulima na waendesha ghala kuhakikisha korosho zinakidhi kiwango stahiki...
SERIKALI ITAENDEA KUHIMIZA MATUMIZI YA TEKNOLOJIA KUIMARISHA UTENDAJI KAZI- MHE LONDO
Naibu Waziri wa Viwanda na Biashara, Mhe. Denis Londo (Mb), amesema Serikali itaendelea kuhimiza matumizi ya teknolojia mahali pa kazi ili kuboresha utekelezaji na...
RAIS DKT. MWINYI ATEMBELEA MAKUMBUSHO YA HISTORIA YA SOKA NA VIVUTIO VYA MADRID, UHISPANIA
Rais wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi, Mhe. Dkt. Hussein Ali Mwinyi, ametembelea Makumbusho ya Historia ya Magwiji wa Soka (LEGENDS: The...
EWURA NA BEI ZA MAFUTA: KWA NINI UDHIBITI HUU NI MUHIMU KWA MWANANCHI?
KATIKA mazingira ya sasa, ambapo bei za bidhaa za mafuta katika soko la dunia zinabadilika kutokana na migogoro ya kimataifa, gharama za usafirishaji na...















